Nebby JF-Expert Member Joined Dec 10, 2012 Posts 222 Reaction score 48 Dec 13, 2012 #1 Nashukuru kuwa mmoja wa mwanafamilia wenu kwani nimekuwa nikifuatlia hoja mbalimbali na michango yenu kwa ujumla kwa muda mrefu na ambayo inaelimisha,inaburudisha na pia inaonya kwa wale wanaopotoka.
Nashukuru kuwa mmoja wa mwanafamilia wenu kwani nimekuwa nikifuatlia hoja mbalimbali na michango yenu kwa ujumla kwa muda mrefu na ambayo inaelimisha,inaburudisha na pia inaonya kwa wale wanaopotoka.
Kamkuki JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 1,957 Reaction score 1,431 Dec 13, 2012 #2 mkuu nebby karibu japo umeingilia mlango wa nyuma!
S SWEET GIRL JF-Expert Member Joined Dec 29, 2011 Posts 520 Reaction score 377 Dec 13, 2012 #3 mhhh wewe umeaga kwenu manake hapa wanga wengi!!!!