Wakuu napangisha Nyumba ipo Iringa mjini

Wakuu napangisha Nyumba ipo Iringa mjini

skendo

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
212
Reaction score
102
Habari wakuu!napangisha nyumba ipo Iringa mjini ni ya vyumba 4(self contena)kodi laki2 kwa mwezi napokea miezi6 mpaka mitatu umeme na maji yapo ya uwakika pia ina uzio wa ukuta kwa mwenye uwitaji aweza kuni pm.
Asanten
 
Hapa si semu ya matangazo peleka semu husika tafadhali usitupotezee muda
 
Mkuu vp hiyo nyumba bado ipo?Mimi niko iringa na ninatafuta nyumba.Tafadhali tuwasiliane.
 
Back
Top Bottom