Wakuu naombeni ushauri wenu

Hahaha Achana nae , life is too short kujisumbua na mtu km huyo
 
dunia simama nishuke 😀😀
 
Wewe ni mjinga zaidi ya nzi lilia pesa mapenzi yapo tuu utayapata popote kwenye hii dunia, embuweka kapicha kwanza hapa tumuone huyo
 
Kosa kubwa ni kumtafuta Mara nyingi. Achana nae we kama chuo ujue ndio uko certificate ya mapenzi. Tusikilize PhD holders.

Kuna mwaka, kuna kademu kazuri sana na alinipenda sana nilipokuwa sikionyeshi kama nakapenda sana kalikuwa katumwa kwangu hata nikikosa Mimi kanaomba msamaha. Sasa kuna kipindi nilibugi kalianza shida nikaanza kufanya ujinga kama wako wa kuomba msamaha na kupiga simu ovyo. Basi kakabadilika uwezi amini mapenzi yakageuka kwangu, mpaka nilipokomaa kwamba utumwa bhas, kakasubiri kunapindi kananitafuta huku kakijipa matawi, wapi mwenzake nilishasahau akarudi kuomba yaishe wapi nikampa cheti cha ndoa asome.

Take care mwanaume, kujikomba kwa mwanamke kabla hujasex, ukisex hapo ndio zamu yake inaanza.
 
Asante kwa ushauri wako.
 
Asante kwa ushauri wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…