Generaljow
Member
- Sep 10, 2018
- 16
- 0
Ushauri wenu juu ya course hiyo
kapge shule mkuu hutajutia maishani hiyo kozi safi sana..Ushauri wenu juu ya course hiyo
Hiyo na civil eng. Vipi mkuu...?kapge shule mkuu hutajutia maishani hiyo kozi safi sana..
Write your reply...mkuu iyo ya kisenge kwa upande wa ajira Nami nimechaguliwa pale udom ila siend naenda kupiga civil kapige utaona unavyo hustle kazi utadhn umelogwa kumbe cozi ulyipiga

Unapoongelea civil engineering ni moja ya kozi MAMA za kihabdisi baada ya mechanical na electrical!!Hiyo na civil eng. Vipi mkuu...?
Ahsante mkuuUnapoongelea civil engineering ni moja ya kozi MAMA za kihabdisi baada ya mechanical na electrical!!
Kwa kifupi hata environmental engineering ni subset ya civil!!
Env engineering is good lakin kwa kitanzania huwezi ilinganisha na civil! Kwann nasema hivi...
Angalia tokea JIWE ameingia madarakan ni kazi ngapi za env engineering zimetolewa? Jibu ni hamna!!
Env inaweza kuwa na dili sana tu ila kwa private, na ukipata pande lake shida utasahau!!
Mimi nakushauri kama marks zinaruhusu nenda kasome moja ya hizi kozi... (nimepanga kwa order...)
1. Civil engineering
2. Electrical
3. Water resources (ipo SUA na chuo maji ubungo)
4. Mechanical
5. Architecture ipo ardhi.
Kila la heri mhandisi mtarajiwa.
Civil kipindi hii wamebana sanaAhsante mkuu
Umechaghuliw ila ujaisoma utajuaje kama si nzuri afu jifunze kutumia lugha nzuri kulingana na mazingr sasa ya kisenge ni lugha ganWrite your reply...mkuu iyo ya kisenge kwa upande wa ajira Nami nimechaguliwa pale udom ila siend naenda kupiga civil kapige utaona unavyo hustle kazi utadhn umelogwa kumbe cozi ulyipiga
Wewe njuka ambaye hata U.E moja hujafanya acha dharau.Write your reply...mkuu iyo ya kisenge kwa upande wa ajira Nami nimechaguliwa pale udom ila siend naenda kupiga civil kapige utaona unavyo hustle kazi utadhn umelogwa kumbe cozi ulyipiga
Alivo toa ushaur utadhan labda ameshagraduate uyo kijanaWewe njuka ambaye hata U.E moja hujafanya acha dharau.
Hapo ulipo bado unanuka harufu ya kisekondari sekondari.
Nenda ukasome kijana.Ushauri wenu juu ya course hiyo
Jinga sana hilo.Alivo toa ushaur utadhan labda ameshagraduate uyo kijana
Shukran mkuuNenda ukasome kijana.
Hiyo course ni course nzuri sana tena sana.
Halafu ina uwanda mpana sana wa kuajiriwa na kujiajiri, hakuna ofisi /taasisi au kiwanda chochote kikubwa ambacho hakiwezi kosa environmental engineer.
Mkuu wat abt civil....?Nenda ukasome kijana.
Hiyo course ni course nzuri sana tena sana.
Halafu ina uwanda mpana sana wa kuajiriwa na kujiajiri, hakuna ofisi /taasisi au kiwanda chochote kikubwa ambacho hakiwezi kosa environmental engineer.
Ngoja afany text apate 0 nd atajuaJinga sana hilo.
Pia kwa manufaa zaidi, ukisoma E.E unaweza ukaajiriwa kamaShukran mkuu
Civil zilipendwa asikudanganye mtu, vitu vingi anavyosoma Civil hata EE anasoma , na EE ni kozi kiraka hiyo sehemu yoyote unaajiriwa iwe hospitalini (As sanitation engineer), viwandani ,kwenye mambo ya ujenzi etc.Mkuu wat abt civil....?
So vitu anavyo soma civil pia EE na yy anavisoma baadhi...?Civil zilipendwa asikudanganye mtu, vitu vingi anavyosoma Civil hata EE anasoma , na EE ni kozi kiraka hiyo sehemu yoyote unaajiriwa iwe hospitalini (As sanitation engineer), viwandani ,kwenye mambo ya ujenzi etc.
EE , UDOM pia ipo, imeanzishwa tangu 2016, nenda ardhi ukasome EE achana na EE ya UDOM.Environmental Eng. Cdhan km ipo Udom lkn alisema amepangiwa udom kuna bachelor of Environmental science