Wakuu naombeni kama kuna mtu anajua lolote kuhus TRA

Neriah

JF-Expert Member
May 7, 2012
267
103
wakuu naombeni kama kuna mtu anajua lolote kuhus tra kuwa watatoa lini majina ya kujiunga huko mana naona kimya kingi na maisha yanazidi kuwa magumu
 
Jamaa yangu kasema kunamjadala unaendelea anasema upo uwezekano wa kuongeza nafasi ngoja tusubiri.
 
mi kwa taarifa nilizozipata jana, eti watu washaanza kufanya kazi, tena wamepangiwa shift ya jioni na asubuhi.
 
Wewe Kijana mbona una coment kitu ambacho hauna uhakika nacho,Ni kwamba subilieni majina yenu yatatoka baada ya kumaliza kuchagua watu wenye vigezo. Kazi hii sio nyepesi kama mnavyodhani , kwa sababu sifa za watu sinakaribiana sana. Tafadhari! Tunaomba msituchafulie heshima yetu. Tunafanya kazi zetu kwa haki na weledi.
 
Back
Top Bottom