wakuu naomba mnisaidie kwa anaye zijua hizi gari, honda sream na CRV.

Sep 8, 2013
23
11
Hz gar zote ni za 2005, nazipenda sana kwa muonekano wake, nataka tu kujua kwa hapa kwetu bongo esp mafuta, spare na durability zake
 
Mm nina honda stream 2005 ni gari bora sana kama utapata yenye cc1450 , ulaji wa mafuta na ipo durable na inakimbia sana
 
CR-V ni nzuri tatizo vipuri vyake ni hadimu sana, na hata vikipatikan bei juu ukilinganisha na vipuri vya toyota. Hivyo ikialibika ghafla tena kama uko mikoani bush jiandae tembea kwa miguu uku ukitafuta kipuri chake cha HONDA.
 
chukua honda mkuu wala usiopgope spea kwa bongo kidogo zinazingua ila nairobi zimejaa kama utitiri na hamna unayokosa. mimi mwenyewe nina honda na kila siku niko road
 
Back
Top Bottom