Wakuu naomba makadirio ya haraka haraka ya tofali kwa hii ramani

Masokwe

JF-Expert Member
Mar 30, 2019
451
676
Hello wakuu mambo vip.

Tafadhali wale wazoefu, naomba kujua makadirio ya haraka haraka kwa msingi tuu, wa ramani hii maana pesa ni za kudunduliza.

Makadirio ya tofali
Makadirio ya mifuko ya cement
NA nondo za lenta ya msingi
Pia na ufundi.
Nyumba ukubwa ni meter 80

Kamjengo nataka kuweka chanika, maana nshachoka kuishi kwenye nyumba ya mshua.
Asanteni sana
Screenshot_20210921-123305_Write%20on%20PDF.jpg
 
Mpaka kwenye lenta kwa matofali ya block itachukua kati ya 5000-5300 na kwa matofali ya kuchoma ni arround 7000-8000(nb: yametofautiana ukubwa)
 
Ipo hivi
  • Tofali za msingi ni 800 (course 6)
  • Tofali za boma ni 1800 (course 14)
  • Cement kwa Msingi nj mifuko 18
  • Cement kwa ajili ya boma ni mifuko 27
  • Nondo kwa ajili ya Msingi, hapa Kuna shida maana sasa hivi nondo hazina ukubwa unaofanana.
Nyingi huja pungufu Ila zinatakiwa ziwe na futi 40,lakini unakuta ina futi 34 , Mara 36, Mara 38, shagalabagala tu
Ila andaa piece 16
Mimi ni contractor niliyeshindikana, uliza swali lolote la ujenzi
 
Shukrani sana, nimepata idea, so kapesa kangu kanaweza fika hata lenta
 
Ipo hivi
  • Tofali za msingi ni 800 (course 6)
  • Tofali za boma ni 1800 (course 14)
  • Cement kwa Msingi nj mifuko 18
  • Cement kwa ajili ya boma ni mifuko 27
  • Nondo kwa ajili ya Msingi, hapa Kuna shida maana sasa hivi nondo hazina ukubwa unaofanana.
Nyingi huja pungufu Ila zinatakiwa ziwe na futi 40,lakini unakuta ina futi 34 , Mara 36, Mara 38, shagalabagala tu
Ila andaa piece 16
Mimi ni contractor niliyeshindikana, uliza swali lolote la ujenzi
Mkubwa chumba na sebule Inakula bei gani kukamilika
 
Ipo hivi
  • Tofali za msingi ni 800 (course 6)
  • Tofali za boma ni 1800 (course 14)
  • Cement kwa Msingi nj mifuko 18
  • Cement kwa ajili ya boma ni mifuko 27
  • Nondo kwa ajili ya Msingi, hapa Kuna shida maana sasa hivi nondo hazina ukubwa unaofanana.
Nyingi huja pungufu Ila zinatakiwa ziwe na futi 40,lakini unakuta ina futi 34 , Mara 36, Mara 38, shagalabagala tu
Ila andaa piece 16
Mimi ni contractor niliyeshindikana, uliza swali lolote la ujenzi

Habari
Kwa ramani hii kuanzia msingi mpk boma itakula tofari ngapi? N pesa y fundi mpk boma bei gani kwa Dar.
IMG_6771.jpg

Asante
 
Back
Top Bottom