Ukishaoa tafadhari naomba unikaribishe kwenu nimjue shemeji mkuu.Habari zenu wakuu, natumai mko salama kabisa,
Mwakani nahitaji kuoa nimechoka kuwa bachela, nipo ktk harakati za kupata mtu sahihi ili awe mke wangu, hivyo basi, nahitaji maombi yenu ( kwa Mungu) ili niweze kufanikisha azima yangu.
Naahidi kuleta mrejesho baada ya kufanikiwa, ahsanteni!
Na ukihitaji maombi yetu kurejea kwenye ubachela pia uje utwambie humu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji849]Habari zenu wakuu, natumai mko salama kabisa,
Mwakani nahitaji kuoa nimechoka kuwa bachela, nipo ktk harakati za kupata mtu sahihi ili awe mke wangu, hivyo basi, nahitaji maombi yenu ( kwa Mungu) ili niweze kufanikisha azima yangu.
Naahidi kuleta mrejesho baada ya kufanikiwa, ahsanteni!
Yesu mwenyewe hakuchoka kuwa bachela.....miaka arobaini na bado alikuwa anaishi kwa baba ake...vumilia mkuuHabari zenu wakuu, natumai mko salama kabisa,
Mwakani nahitaji kuoa nimechoka kuwa bachela, nipo ktk harakati za kupata mtu sahihi ili awe mke wangu, hivyo basi, nahitaji maombi yenu ( kwa Mungu) ili niweze kufanikisha azima yangu.
Naahidi kuleta mrejesho baada ya kufanikiwa, ahsanteni!
Mkuu hakuna shida.Ukishaoa tafadhari naomba unikaribishe kwenu nimjue shemeji mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Litakuwa kosa kubwa sana kuwahi kulifanya maishani mwake. Kukukaribisha tu kwake.Ukishaoa tafadhari naomba unikaribishe kwenu nimjue shemeji mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo maombi siyo mazuri sana.Na ukihitaji maombi yetu kurejea kwenye ubachela pia uje utwambie humu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu inaonekana unamfahamu vyema huyu mtu, ok ni vizur pia.Litakuwa kosa kubwa sana kuwahi kulifanya maishani mwake. Kukukaribisha tu kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha kumbe hujampata bado halafu utamuoa mwakani?Hapana, sijampata bado huenda akawa humu au nje.
Fanya mambo yako kimya kimya, kwenye maombi yako husisha wakuu wako wa kiimani inakuwa ni nzuri zaidi.Hayo maombi siyo mazuri sana.
Minipo single...sema simjui yesu hahahaHapana, sijampata bado huenda akawa humu au nje.