Navuta bangi
Member
- Aug 14, 2020
- 80
- 160
Inategemeana kama ni kwaajili ya Familia Kubwa Toyota Wish, Raumu na Sapcio hapo.Habari zenu wakulungwa samahani, nahitaji kununua gari mojawapo kati ya hizi tano.
Toyota Runx
Raum new model
Toyota wish
Spacio new model
Nissan X trail model 2005
NB: Mimi ni mtanzania mwenye maisha ya kawaida, so naombeni ushauri gari ipi itanifaa zaidi kati ya hizo..na ambayo ni bora ktk masuala mazima ya fuel consumption, speed, upatikanaji wa spea na ugumu.
Chukua Spacio itakufaa kuvutia bangi piaHabari zenu wakulungwa samahani, nahitaji kununua gari mojawapo kati ya hizi tano.
Toyota Runx
Raum new model
Toyota wish
Spacio new model
Nissan X trail model 2005
NB: Mimi ni mtanzania mwenye maisha ya kawaida, so naombeni ushauri gari ipi itanifaa zaidi kati ya hizo..na ambayo ni bora ktk masuala mazima ya fuel consumption, speed, upatikanaji wa spea na ugumu.
Wenye magari yetu Leo tumeitwabahati ilioje
Bajeti yako ipoje?Habari zenu wakulungwa samahani, nahitaji kununua gari mojawapo kati ya hizi tano.
Toyota Runx
Raum new model
Toyota wish
Spacio new model
Nissan X trail model 2005
NB: Mimi ni mtanzania mwenye maisha ya kawaida, so naombeni ushauri gari ipi itanifaa zaidi kati ya hizo..na ambayo ni bora ktk masuala mazima ya fuel consumption, speed, upatikanaji wa spea na ugumu.
shukrani kiongozi...sina familia kubwa ni mimi, wife na mtoto mmoja..Inategemeana kama ni kwaajili ya Familia Kubwa Toyota Wish, Raumu na Sapcio hapo.
Ila kama una Familia Ndogo, Runix na X Trail njema tu.
Kwa Mafuta, Haziachana saana labda X trail ndiyo Juu Kidogo.
Sawa mkuuRunx na spacio chagua mojawapo hizo gari zote ndiyo size yako
ni 9MBajeti yako ipoje?
sawa mkuu asante kwa ushauriChukua Toyota Wish ndio kidogo itakufaha ,hizo nyingine ni vidogo sana(RunX,Raum) ,Xtrail usijaribu maana Wese litakausha mfuko wako!!
Wewe ni mtu aina gani? Kama ni bachelor kamata RunX.Habari zenu wakulungwa samahani, nahitaji kununua gari mojawapo kati ya hizi tano.
Toyota Runx
Raum new model
Toyota wish
Spacio new model
Nissan X trail model 2005
NB: Mimi ni mtanzania mwenye maisha ya kawaida, so naombeni ushauri gari ipi itanifaa zaidi kati ya hizo..na ambayo ni bora ktk masuala mazima ya fuel consumption, speed, upatikanaji wa spea na ugumu.
sio bachelor...nina familia mke na mtoto mmojaWewe ni mtu aina gani? Kama ni bachelor kamata RunX.
Kama una familia yenye watoto zaidi ya mmoja beba Spacio.
Sababu zote ni jamii ya Corrola hazili mafuta sana hizo gari na ni imara sana. Gharama ya kuzihudumia ni nafuu ukiwa smart katika matumizi.
Chukua spacio tu mzeesio bachelor...nina familia mke na mtoto mmoja