Msichana huyu nillkutana naye mazingira yangu yakazi. nimrembo kiasi chake. kwa image ambayo mimi naihusudu. mrefu kiasi maji yakunde, kifua saizi ya kati. hali kadhalika yale mambo yetu ya akiba ya chakula yapo(wowowoo0). kwa sasa ndiyo nipo naye mjengoni. ila ilinichukua miezi mitatu kabla yakukutana naye kimwili na alikuwa akionesha msimamo mkali mno. Mtoto msafi anapika vizuri akivaa anapendeza ni muajiriwa. Siku aliyonipa unyumba ndipo niliamini vizuri vina kasoro/ Barabara ndefu haikosi kona. Mzee mzima kabla ya kuzama nilitaka kwenda chumvini. ile kupima oil. Duuuuu! nagundua kuwa hakuna kinembe na mimi ndiyo ugonjwa wangu. Ikabidi nimchukue maelezo akadai kuwa alikatwa alipokuwa mdogo kutokana mila zao, Wakuu naomba mnishauri nifanye nini? juu ya huyu binti. kiukweli mpaka sasa tuna miezi sita pika na kupakua. sioni kipya kwake. kiasi kwamba kwa mwezi huwa nakutana naye mara moja. kinachonikera ni Nonsense. Yaani hata usugue vipi anakukata. jicho kama anasoma gazeti.Lakini cha ajabu tangu nianze mapenzi sijawahi kukutana na mwanamke muadilifu kama huyu. natamani kumuacha leo kesho JE NIFANYEJE?
Upendo haubagui, haujivuni,hauhesabu mabaya! Upendo huvumilia.
Yapo mambo ambayo yapo nje ya uwezo wa kuamua kwa mtu muhusika. Kwa mfano: wewe ulizaliwa ukiwa govinda, endapo katika kukuwa kwako, wazazi/walezi kwa mila na tamaduni zao ilibidi wakukate hilo dubwana lako bila uelewa au ridhaa yako kwakuwa pengine ulikuwa mdogo na hivyo kutoelewa au kuhusishwa katika kuamua hilo, sasa ukakuwa na kujua ulichofanyiwa kina negative impact miongoni mwa watu wa jamii inayokuzunguka na kitendo ulichofanyiwa ni IRREVISIBLE, Ungefanya nini?:dizzy:
Yeye anazo sifa zote kama mwanamke tena umesema kuhusu uadilifu yeye ndo wa kwanza kwako kukutana na hali hiyo(Achilia mbali kama umekata utepe au la), unahitaji nini zaidi ikiwa yeye hana analoweza kufanya kuhusu hilo? Je, hutamnyanyasa kwa jambo ambalo hata wewe usingeweza kulizuia kama ingekuwa ni upande wako? Embu rudisha Govinda lako kama unaweza.
Ndoa ni zaidi ya ngono kwa ufahamu wangu.
Think twice mkuu.

Tumia 0713
my lito bro Craig nimekupenda kwamba umekuwa mkweli na najua unapopita na unataman nini. but hebu niambie wewe mwenyewe umesema hakuna kizuri kisichokuwa na kasoro sasa wategemea umkute yupi aiyeakmilika??
huyu binti ni muhanga wa FGM na sio kosa lake and i cna imagine the pain she is going thru as a result ya kuwa stigmatized kwasababu ya kosa ambalo yeye hana jinsi nalo wala hakuwa na namna ya kujitetea. naamini ingekuwa anafanyiwa mkubwa angekataa ila ilikuwa ni tofauti na hivyo.
wapo wanaume wengi sana wanaish na wahanga wa FGM lkn hawajawaacha, pengine hata dada zako ama mama zako ama bibi nao ni miongoni mwao how do you know??
kwangu mimi ningekushauri so long as ni mzuri na ni mwadilifu just learn to love her usije ukamuumiza na nani anataiwa awe mume wake kama sio wewe??
yapo maeneo mengi unayoweza kuyatumia kumpa raha binti umejaribu sehem nyingine za mwili wake?? miguu, tumbo, nyonyo,kitovu, nyuma ya goti G-spot?? hebu jifunze bana jst be creative
so far uko unakotaka kwenda hutofika as kila utakaye kutana nae atakuwa na kasoro. furaha ya ndoa si tendo la ndoa tu, manake hata tendo bila heshima na uadilifu lina maana gani??
Dada gsonwin napenda ushauri wako,nakupenda Pia tena sanaaa
dah! am really humbled by your compliments dears.
yaani najiona kama vile napaa vile lol!
nami nawapenda sana sana wapenzi wangu, mu watu muhimu sana kwangu, mu wadogo zangu wapenzi..................... lord i love these pple.
Chobisssss