one b
JF-Expert Member
- Jun 30, 2017
- 1,669
- 4,047
moja kwa moja kwenye mada wadogo zangu wawil walifanya chaguz za course zao lakin kwa bahati mbaya hawakuchaguliwa..hivyo kufanya niwasaidie kuomba kwa mara ya pili (second round) niliingia kwenye account zao na kubadilisha course zao na kujaza nyingine....mmoja alisoma CBG na kupata div 2 ya points kumi..hyu nilimuombea udsm, sua na ardhi kwa kubadilisha course na iliasije kukosa nikamuombea na ifm ...cha ajabu mpaka sa hiv ukiingia kwenye acc yake naona course zake kama nilivyojaza...hazioneshi kuwa yupo admitted au kama kakosa...hapa nawaza kwenda moja kwa moja tcu...na mwingine ni wa TIA nae ni hivyo hivyo...nitakuwa nimekosea wapi? nawasilisha