Wakuu msaada wa Convertor ya hizi to Ethernet

Bird Watcher

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
4,599
Reaction score
9,657
Wakuu salama kati ya izo port apo ipi inaweza kuwa Na cable Na ya kwenda kwenye Ethernet Port
 
Hujaweka picha ila jibu ni kuwa angalia cable ambayo kichwa chake ni cha RJ-45 (Registered Jack 45); hiyo ndiyo cable pekee inayoweza kuingia kwenye Ethernet Port!
 
Wakuu salama kati ya izo port apo ipi inaweza kuwa Na cable Na ya kwenda kwenye Ethernet Port
Hakuna picha, lakini simply unaweza kutumia USB kwenda Ethernet, unahitaji a small USB to ethernet adapter
 
Back
Top Bottom