moekhitaryan Senior Member Joined Oct 3, 2016 Posts 121 Reaction score 105 Nov 6, 2016 #1 Habari wakuu Nashindwa kuiaccess flash inadai write-protection natumia window xp hvo mwenye kujua naomba msaada anifahamishe
Habari wakuu Nashindwa kuiaccess flash inadai write-protection natumia window xp hvo mwenye kujua naomba msaada anifahamishe
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,144 Reaction score 3,848 Nov 6, 2016 #2 Mkuu vitu vingine sio lazima ulete hapa, unaweza ukagoogle kuna solution kibao kwenye Google
shalet JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 3,441 Reaction score 3,613 Nov 6, 2016 #3 kuna flash zina lock flan ya kuslide pembeni nyingine ikiandika hivo ni kama imekufa utabaki una read huwezi ku write
kuna flash zina lock flan ya kuslide pembeni nyingine ikiandika hivo ni kama imekufa utabaki una read huwezi ku write
moekhitaryan Senior Member Joined Oct 3, 2016 Posts 121 Reaction score 105 Nov 6, 2016 Thread starter #4 WAHEED SUDAY said: Mkuu vitu vingine sio lazima ulete hapa, unaweza ukagoogle kuna solution kibao kwenye Google Click to expand... Asante
WAHEED SUDAY said: Mkuu vitu vingine sio lazima ulete hapa, unaweza ukagoogle kuna solution kibao kwenye Google Click to expand... Asante
moekhitaryan Senior Member Joined Oct 3, 2016 Posts 121 Reaction score 105 Nov 6, 2016 Thread starter #5 shalet said: kuna flash zina locj flan ya kuslide pembeni nyingine ikiandika hivo ni kama imekufa utavaki una read huwezi ku write Click to expand... Asante
shalet said: kuna flash zina locj flan ya kuslide pembeni nyingine ikiandika hivo ni kama imekufa utavaki una read huwezi ku write Click to expand... Asante
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 34,101 Reaction score 32,922 Nov 6, 2016 #6 Jaribu kusoma hapa labda utapata msaada.