Dah huyu anakula...nimejaribu kusoma net hapa..hula saana wadudu..na nimempa kazaa kala..sema inaonekana kula kwao hasa ni usikuMpole sana huyo mnyama, niliwahi kummulika na Taa ya pikipiki usiku nikamkamata kumhifadhi home, aligoma kula kila nilichompa nikamrudisha porini.
Aaaah me sipo hivyo, hawa ni viumbe bana...sasa ukimla watoto wake watalelewa na nan? Kwnza kula wanyama kama hawa sio ubinadamu.....kuwa na iman mkuu utakuja kuliwa na mamba ohooo....Mle tu huyo hana tatizo,nimetafuna sana hapa kwangu,
Kweli kabsa kaka...umeongea la maana!!! Me pia sipendi...na niliumia saana kumkuta na watoto af nimetibua sem naona hana shida...maana had sasa nimegundua baadhi ya vyakula na nikimpa anakulaJaribu kuwasiliana maafisa wa wanyama au Zoo yoyote iliyokaribu kwa kuwadadisi jinsi gani hao wanyama wanaishi afu utamlea kwa kipindi flani kisha utamuachia aendelee na maisha yake, usije ukampeleka kwenye Zoo hio ni sawa na kumpeleka jela huwa sipendi kabisa watu wanaowaamisha wanyama kwenye mazingira yao halisi.
hii picha umegoogle piga ingine niamini weka hata chupa pembeniMe vunja bei mzee wa ma smartphones...hivyo kawaida
Hhahaaaaa kama kweli asee,afanye hivyo. Ila ni wanyama wanaopatikana kwa wingi sana maeneo ya Dodomahii picha umegoogle piga ingine niamini weka hata chupa pembeni
hii picha umegoogle piga ingine niamini weka hata chupa pembeni
ungempa unyumba angeshukuru sana na kufurahiaMpole sana huyo mnyama, niliwahi kummulika na Taa ya pikipiki usiku nikamkamata kumhifadhi home, aligoma kula kila nilichompa nikamrudisha porini.
ahaaaa safi mkuu unauza simu sh ngapi kama hyo?View attachment 426081View attachment 426083View attachment 426084View attachment 426085
Haya Miss hao hapo nipe hela...na chupa nimekuwekea sime wameingia kwa ndan ya box hawatak mwanga...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] bei pouwa tu kwa wakuu wenzangu wa humu JF, kwn si unaonaga nyuzi zangu za biashara za simu humu?, ukihitaji smartphone ya ukweli na latest yaan fanya kunichek tu 0654776976.ahaaaa safi mkuu unauza simu sh ngapi kama hyo?