Big Man Kontawa
Member
- Aug 28, 2021
- 36
- 113
Huu wakat mpaka ufike ntakua nimechoka sana, naweka kila kitu kwenye nnchofanya lakini matokeo mazuri n kiduchu sana na wakat mwngne hakuna kabisa. Leo mpak nimeandika hapa inanilazimu niuze furniture chache za ndani ili nibust biashara iende na najua ntauza kwa hasara na kuja kuzipata tena sio rahisi.Hapo hapo ulipo weka juhudi utafanikiwa. Usitamani kikubwa wakati wake bado
Jaribu idea tofauti tofauti ukiona biashara unayofanya haina matokeo mazuri achana nayoHuu wakat mpaka ufike ntakua nimechoka sana, naweka kila kitu kwenye nnchofanya lakini matokeo mazuri n kiduchu sana na wakat mwngne hakuna kabisa. Leo mpak nimeandika hapa inanilazimu niuze furniture chache za ndani ili nibust biashara iende na najua ntauza kwa hasara na kuja kuzipata tena sio rahisi.
miaka 27. Nikiwa kazini ni around laki tatu na nusu mpaka nne kutegemea na masaa ya ziada. Lakin ndo hvo sifanyi kwa mwaka mzima n miezi kadhaa tuUna miaka mingapi na msharaka kihasi gani unapata?
Hii naifanya sana lakin mara zote inakuja inafeli. Naishi kwa gharama za chini sana ile kuhakikisha familia inapata mahitaj ya msingi na sio hanasa.Ridhika na maisha yako huku ukiendelea kupambana. Ongeza juhudi kwa kila unachokifanya bila kusahau kuwa na nidhamu ya kila unachokipata(fedha).
1Low consumption(necessary)
2Save more
3Invest
4 repeat 1-3
miaka 27. Nikiwa kazini ni around laki tatu na nusu mpaka nne kutegemea na masaa ya ziada. Lakin ndo hvo sifanyi kwa mwaka mzima n miezi kadhaa tu
Usiache ipo siku mambo yatakaa sawa, ukishafikia kwenye level ya kuinvest kile ulichoweka akiba utaona matunda yake.Hii naifanya sana lakin mara zote inakuja inafeli. Naishi kwa gharama za chini sana ile kuhakikisha familia inapata mahitaj ya msingi na sio hanasa. Kidogo nasave lakin saving hii haifiki popote inakuja kutumika yote pia sababu kuna kipindi unajikuta huna kitu kabisa familia haiwez kulala njaa na mtoto n mdogo basi unaanza upya