Wakuu mbona napendwa sana na ma hausigeli

Wakuu mbona napendwa sana na ma hausigeli

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,085
Reaction score
16,064
Hili swala sasa naona ni real kabisa sababu haiwezekan kila nyumba niingiapo especialy za ndugu zangu lazima kwa namna1 au nyingne hausigel lazima aoneshe namna za wazi kabisa.Wengne wananiuliza unaitwa ankali nani..

Enzi za ujana wangu pale home nilikua nawala sana had bi mkubwa alishtukia ilikua noma.

Sasa nahis nna affinity kwa hawa ma hausigeli..yaani mahausigeli wanavutiwa sana na mim.

Ni upuuzi najua ila imebid nitoe dukuduku

Uzi tayar
 
Back
Top Bottom