Wakuu kwa anaeujua huu wimbo msaada

Wakuu kwa anaeujua huu wimbo msaada

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,450
Reaction score
32,291
Hunijali kwa chumvi (hunijali kwa sukari taabu nyingi ninapata na watotoooo). Napata shida na watoto

Hunijali kwa mavazi hunijali kwa chochote aaaa aaa napata shida

Unataka kuoa mke wapili ni zilipendwa wimbo mkali sana jaman nakumbuka nyumbani mbeya huwa nikiusikia msaada mama yangu alikuwa akiupenda sana miaka ya 92/93
 
Penzi haligawanyiki.... Vijana jazz band....
 
Back
Top Bottom