Wakuu kuna ukweli hapa?

Wakuu kuna ukweli hapa?

JamboJema

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
1,143
Reaction score
209
Leo nilikuwa Chato, Magufuli alikuwa na mkutano hapo. Alidai walimu waligoma kote isipokuwa Arusha na Moshi. Je ni kweli?
 
Nadhani hizo ni siasa tu!lakini nadhani walimu wa maeneo tajwa tunao huku ngoja waje watuambie ukweli.
 
Huyo analopoka hivohivo hadi kamsababishia kafumu avuliwe madaraka
 
huyo si ndio kamrubuni mwenzake hadi amevuliwa ubunge?!!..ni mropokaji huyo
 
Mgomo haukuwa na tija, hivyo great thinkers wote hawakugoma.
 
uropokaji huu huu ndiyo umem-cost kafumu ... wacha aendelee hajui kesi ipo mahakamani
 
Huyu mzee waku kariri kilometa za lami anzia uhuru,naisi anavuta bangi.nipo arusha shule zote walingoma.
 
hivi huwa ni kbila gani vile kuna mtu aliniambiaga eti ni muhaya ila anajitaja kuwa ni msukuma wa Chato hivi kuna ukweli hapo???
 
hivi huwa ni kbila gani vile kuna mtu aliniambiaga eti ni muhaya ila anajitaja kuwa ni msukuma wa Chato hivi kuna ukweli hapo???....

Kwenye hotuba yake alikuwa akichanganya na kisukuma. Aidha, jina 'Magufuli' linaelekea kwa wasukuma. Ila sina uhakika.
 
  • Thanks
Reactions: Odb
Sera za kuwadanganya Wananchi wa nyakati za sasa hawana, kwa hiyo watabaki wanapiga uongo sana!
 
Back
Top Bottom