Wakuu kuna mtu anatizama FNL EATV? Stereo na Chemical live

Ila kama ni kweli jamaa asingefanya hii mishe thru media, demu angemuelewa, kwa the way alivyokuwa anachukulia sound za Stereo.
 
Demu alishatangaza yeye ni BIKRA naona stereo yuko kwenye research tusubiri majibu kutoka kwake
 
Hip hop haif hvo mkuu, ata wakina pack na other walikuwa na feelings zikawafanya kuandika hits

2pac - me n my gf
Run Nikka Run Nikka,Run Mazafanta Run
Duck Ninja Duck Ninja.

"I knew deep inside, baby girl would always be mine Picked you up when you was nine, started out my life of crime With you, bought you some shells when you turned twenty-two"- 2pac

Nine:-9mm aka Mguu wa Kuku
Twenty-two:-22 Calibre Hand gun aka mguu wa kuku
Shells:- Risasi aka Njugu
 
Thumb up dude......
 
Kanyooshwa vibaya.... Yani wanawake wa dar wako imara kuliko wanaume....hahahahaass

Cha kushangaza wamkoani ndio unafuatilia habari kama hizi hapa. Huna tofauti yoyote na Hawa SHILAWADU
 
Back
Top Bottom