Wakuu kuna mtu aliyetumiwa code za kuthibitisha chuo?

Wakuu kuna mtu aliyetumiwa code za kuthibitisha chuo?

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Posts
28,700
Reaction score
71,114
Naomba kujua kama kuna mtu ametumiwa code za ku confirm chuo
 
Zinztumwa kwenye account ya mwanafunzi husika au zinatumwa kupitia nini?
 
Saa 6 mchana 3/9/2018 watu bado wanasubiri. Tanzania yangu.
 
Hivi waliokwenda JKT wamerudi au haya watapambana nayo vipi?
 
Back
Top Bottom