Wakuu Kuna Kazi Hapa au Naibiwa?...

Wakuu Kuna Kazi Hapa au Naibiwa?...

fiter

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
1,144
Reaction score
79
Nlituma CV yangu SJA mda kidogo hawa jamaa naona ni recruitment agency, sasa wamenjibu kwa email kua CV yangu imekubalika kwa hiyo nitume elfu 50000 ni ada ya training, accommodation,meals.

Eti nitume kwa mpesa au tigo pesa alafu watanjulisha mahali pa kukutana tuanze training mwezi wa nne.

NANI KAWAHI KUFANYA KAZI NA HAWA JAMAA AU MWENYE HABARI ZAO ANJULISHE
 
nlituma cv yangu SJA mda kidogo hawa jamaa naona ni recruitment agency....sasa wamenjibu kwa email kua cv yangu imekubalika kwa hyo ntume elfu 50000 ni ada ya training, accommodation,meals...eti n2me kwa mpesa au tigo pesa alafu watanjulisha mahali pa kukutana tuanze training mwezi wa 4.....NANI KAWAH KUFANYA KAZI NA HAWA JAMAA AU MWENYE HABARI ZAO ANJULISHE

WTF!!!

mkuu induction course huwa ni gharama za kampuni yenyewe kwa sababu wanakuwa wameshakufanyia recruitment..

hao ni wezi,

kama ni serious wamefanya hivyo kwako, weka namba hapa tufaidike wote kwa kuwafamu hao matapeli.

dont send that money to them.
 
Mkuu katika maisha yako usihangaike na kazi unazohtajika kulipa pesa,HR departments nyingi ndizo zinahusika na hizo gharama,so usijaribu kutuma hiyo pesa,hao ni matapeli kama matapeli wengine so be care!
 
Hii inatuchanganya sana tuliotumiwa hii email jamaa ukimpigia simu inaita hapokei.
 
Hii inatuchanganya sana tuliotumiwa hii email jamaa ukimpigia simu inaita hapokei.

kumbe na ww mkuu umetumiwa ila usitume hela kama wakitaka watuelekeze ofsi zao zilipo wakatupe maelezo zaidi
 
hao wezi , usijaribu kutuma hiyo pesa au weka namba hapa jamvini ili tuwapigie ili tuone kama watapokea.
 
Nlituma CV yangu SJA mda kidogo hawa jamaa naona ni recruitment agency, sasa wamenjibu kwa email kua CV yangu imekubalika kwa hiyo nitume elfu 50000 ni ada ya training, accommodation,meals.

Eti nitume kwa mpesa au tigo pesa alafu watanjulisha mahali pa kukutana tuanze training mwezi wa nne.

NANI KAWAHI KUFANYA KAZI NA HAWA JAMAA AU MWENYE HABARI ZAO ANJULISHE

Joel Mbarouk,haya bwana.
 
RE: Secretarial Capacity Building Training Session and Training Costs Contribution

-

Refer your job application on the position of secretary and office administrator as well as job description and training procedures as advertised

On behalf of Secretary Job Agency (SJA), I am happy to inform you that following your job application in the position of secretary and office administrator, after the review of your CV, Referees recommendation, your explained experience and education professionalism. Your name has finally successfully been selected to be among 60 applicants who will attend ONE MONTH Secretarial Capacity Building Training Session in either Dar es salaam, Mwanza, Arusha, Tabora, Morogoro or Iringa, from 15th April

SJA will not be your employer, SJA Company is only training and job recruitment agency working to search and create secretarial and office administrator opportunities in Tanzania and other parts of Africa. Our Office is notifying you to observe to the following

Please you are requested to Contribute Tsh 50,000/= in covering for training costs- (Breakfast, Lunch, Certificates of Training, Field Study Visiting Costs, registration processes for Tanzania Personal Secretary Association membership, Learning Materials and Emergencies).
Send your Training Cost Contribution (Tsh 50,000/=) to New Recruits Coordinator, Mr Joel Mbarouk via 0764099458 and 0713200730. Ensure that you use your registered phone number to send your money, and you are urged NOT to delete the M-Pesa or Tigo-Pesa feedback text message after sending your contribution. Submit your Cost Contribution immediately from now before March, 2014 to avoid unnecessary disturbances. ONLY those contributed for the mentioned cost contribution shall be contacted for training and provided with access to all schedules before training due date.
Remember to come with your original certificates during the training
SJA will NOT be responsible to offer accommodation during the training, you have to arrange your own Accommodation· Other transportation costs will be claimed from your employer after starting the job, you have to keep in mind that all the related receipts have to be carefully stored for future refund from your employer.
Please send your certificates to the New Recruits Coordinator through----- joelmbarouk@secretary.net for future reference while waiting for original hard copies. If you have any concern or excuses please send text message or send your email to Recruits Coordinator, Mr Joel Mbarouk. We receive hundreds of phone calls per day concerning this job opportunities and practically we can’t attend/answer all phone calls at the same time.
Since our company will not be responsible for accommodation costs, when sending your certificates- it will be worthwhile letting us know your schedule and the region of preference where you can best attend our training when the time arrive on the 15 april, so that we can reschedule the location where you can attend the training. The training will be conducted in Mwanza, Dar, Iringa, Arusha, Singida and Morogoro.
-
After the completion of secretarial training and passing of our aptitude tests you will be employed as Community Project Secretary and Field office administrator (International NGO operating in Dar, Arusha, Morogoro,Mwanza and Iringa-Tanzania ). As a recruiting agent, the information about our client is still confidential between our company and our client until after the training to avoid bureaucracy and favoritism; it is my hope that this will remain the way it is until when all the employment procedures between our company and our client (your future employer) will be finalized.

SJA has zero tolerance on corruption and bribery, if you encounter any problems related please contact us immediately.

We are looking forward to hear from you soon

Thanks
 
hao watu wash..nz wenzao wanapoteza mda kuapply af wao hawapo siriaz ..hapo lazima wapate watu wakuwatapel sio wote ambao watawapuuzia.
 
Hata mi jamani nimeipata nliaply pia.. ila sijawajibi chochote...
 
Back
Top Bottom