Erick zeph Stanley
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 647
- 72
Japo inaweza ikawa si jukwaa lake lakini si vibaya nikiwatakia mwaka mpya mwema kama ifuatavyo....
1.Mashabaki wa Arsenal heri ya mwaka mpya kwenu na hongereni kwa kuongoza ligi mpaka sasa.. Naamini ubingwa utatua pale emirates stadium...
2.Mashabiki wa liverpool mwaka mpya mwema pia msife moyo top four mtaingia msimu huu lakini ubingwa sahauni..
3.Man U mwaka mpya mwema pia hongereni pia mmejitahidi kwa nafasi mliyopo.. Bila kukaza mngekua nafasi ya 17 huko lakini bado top 4 mtaisikia tu hamtaingia top 4 na ubingwa ndo humsahau kabisa...
4.Mashabiki wa Man city mwaka mpya mwema kwenu pia mna timu nzuri lakini mnanishangaza kwa nini hadi sa hizi hamuongozi ligi? Lakini nawapa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa endapo tu Arsenal watashindwa kutwaa ubingwa huo
5.Kwa mashabiki wa chelsea nyie nazani sahauni tu ubingwa mwaka huu mtashija nafasi ya tatu kama mlivyo sa hizi
#Mwisho wa yote tuombeane heri na fanaka katika mwaka mpya wa 2014 yote kwa yote mwenyezi Mungu azidi kutubariki...
jose dos santos mourinho, njoo usikie hii mutu inaonekana imekusahau au bado imelala
haya banah lakini nazani hii mutu imesaamka tiyari
Jukwaa linahusu, Arsenal imefanya vizuriround ya kwanza, ila mpaka leo kuna watu wanadhani ni bahati mbaya tu kwa Arsenal kuwa juu ya table, hawa ndio wanaitwa #Mburukenge

Kikubwa ni kwamba CITY are spending too much money kuweza kumaintain kikosi chao...wakati Arsenal ni average tu na still tupo juu yao...!!As an arsenal fan, naipongeza timu kwa kufika hapa tulipo, kuna timu kama MANCITY imeassemble kikosi kizuri sana ila tuko juu, point yangu ni kwamba tusibweteke, we still have a battle ahead.
Japo inaweza ikawa si jukwaa lake lakini si vibaya nikiwatakia mwaka mpya mwema kama ifuatavyo....
1.Mashabaki wa Arsenal heri ya mwaka mpya kwenu na hongereni kwa kuongoza ligi mpaka sasa.. Naamini ubingwa utatua pale emirates stadium...
2.Mashabiki wa liverpool mwaka mpya mwema pia msife moyo top four mtaingia msimu huu lakini ubingwa sahauni..
3.Man U mwaka mpya mwema pia hongereni pia mmejitahidi kwa nafasi mliyopo.. Bila kukaza mngekua nafasi ya 17 huko lakini bado top 4 mtaisikia tu hamtaingia top 4 na ubingwa ndo humsahau kabisa...
4.Mashabiki wa Man city mwaka mpya mwema kwenu pia mna timu nzuri lakini mnanishangaza kwa nini hadi sa hizi hamuongozi ligi? Lakini nawapa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa endapo tu Arsenal watashindwa kutwaa ubingwa huo
5.Kwa mashabiki wa chelsea nyie nazani sahauni tu ubingwa mwaka huu mtashia nafasi ya tatu kama mlivyo sa hizi
#Mwisho wa yote tuombeane heri na fanaka katika mwaka mpya wa 2014 yote kwa yote mwenyezi Mungu azidi kutubariki...
Liverpool will never walk alone