Wakuu japo niwatakie mwaka mpya wapenzi wote wa kandanda wa Jf..

Erick zeph Stanley

JF-Expert Member
Apr 25, 2013
648
195
Japo inaweza ikawa si jukwaa lake lakini si vibaya nikiwatakia mwaka mpya mwema kama ifuatavyo....
1.Mashabaki wa Arsenal heri ya mwaka mpya kwenu na hongereni kwa kuongoza ligi mpaka sasa.. Naamini ubingwa utatua pale emirates stadium...

2.Mashabiki wa liverpool mwaka mpya mwema pia msife moyo top four mtaingia msimu huu lakini ubingwa sahauni..

3.Man U mwaka mpya mwema pia hongereni pia mmejitahidi kwa nafasi mliyopo.. Bila kukaza mngekua nafasi ya 17 huko lakini bado top 4 mtaisikia tu hamtaingia top 4 na ubingwa ndo humsahau kabisa...

4.Mashabiki wa Man city mwaka mpya mwema kwenu pia mna timu nzuri lakini mnanishangaza kwa nini hadi sa hizi hamuongozi ligi? Lakini nawapa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa endapo tu Arsenal watashindwa kutwaa ubingwa huo

5.Kwa mashabiki wa chelsea nyie nazani sahauni tu ubingwa mwaka huu mtashia nafasi ya tatu kama mlivyo sa hizi

#Mwisho wa yote tuombeane heri na fanaka katika mwaka mpya wa 2014 yote kwa yote mwenyezi Mungu azidi kutubariki...
 
Eli79

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
28,091
2,000
I'm an arsenal fan ila its too early to call it a day.

Kuanzia timu inayoongoza ligi hadi inayoshika nafasi ya saba, bado kazi ipo...kumbuka boxing day Liverpool alikuwa akiongoza ligi, sasa tuanenda mwaka mpya wako nafasi ya tano.

All the best to Arsenal n' arsenal fans ila the ball still rolls..
 
Likwanda

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
3,892
2,000
Arserna bado nina mashaka ktk upande wa ushambuliaji, kama tungekua nawashambuliaji kama wa Man blue basi ubingwa ungekua unanukia. Ila bado nafasi ipo kama tutajipanga vizuri ktk kuongeza nguvu pale Dirisha dogo litakapo funguliwa.
 
Box 2

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
505
250
japo ni mapema lakini biashara asubuhi jioni mahesabu,hakika mwaka unaanza vizuri ARSENAL akiwa kileleni huko nje na hapa ndani YANGA akiwa kileleni,ni furaha ilioje.
 
Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
3,392
1,500
Japo inaweza ikawa si jukwaa lake lakini si vibaya nikiwatakia mwaka mpya mwema kama ifuatavyo....
1.Mashabaki wa Arsenal heri ya mwaka mpya kwenu na hongereni kwa kuongoza ligi mpaka sasa.. Naamini ubingwa utatua pale emirates stadium...

2.Mashabiki wa liverpool mwaka mpya mwema pia msife moyo top four mtaingia msimu huu lakini ubingwa sahauni..

3.Man U mwaka mpya mwema pia hongereni pia mmejitahidi kwa nafasi mliyopo.. Bila kukaza mngekua nafasi ya 17 huko lakini bado top 4 mtaisikia tu hamtaingia top 4 na ubingwa ndo humsahau kabisa...

4.Mashabiki wa Man city mwaka mpya mwema kwenu pia mna timu nzuri lakini mnanishangaza kwa nini hadi sa hizi hamuongozi ligi? Lakini nawapa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa endapo tu Arsenal watashindwa kutwaa ubingwa huo

5.Kwa mashabiki wa chelsea nyie nazani sahauni tu ubingwa mwaka huu mtashija nafasi ya tatu kama mlivyo sa hizi

#Mwisho wa yote tuombeane heri na fanaka katika mwaka mpya wa 2014 yote kwa yote mwenyezi Mungu azidi kutubariki...

jose dos santos mourinho, njoo usikie hii mutu inaonekana imekusahau au bado imelala
 
Sizinga

JF-Expert Member
Oct 30, 2007
8,572
2,000
Jukwaa linahusu, Arsenal imefanya vizuriround ya kwanza, ila mpaka leo kuna watu wanadhani ni bahati mbaya tu kwa Arsenal kuwa juu ya table, hawa ndio wanaitwa #Mburukenge
 
Eli79

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
28,091
2,000
Jukwaa linahusu, Arsenal imefanya vizuriround ya kwanza, ila mpaka leo kuna watu wanadhani ni bahati mbaya tu kwa Arsenal kuwa juu ya table, hawa ndio wanaitwa #Mburukenge

As an arsenal fan, naipongeza timu kwa kufika hapa tulipo, kuna timu kama MANCITY imeassemble kikosi kizuri sana ila tuko juu, point yangu ni kwamba tusibweteke, we still have a battle ahead.
 
Sizinga

JF-Expert Member
Oct 30, 2007
8,572
2,000
As an arsenal fan, naipongeza timu kwa kufika hapa tulipo, kuna timu kama MANCITY imeassemble kikosi kizuri sana ila tuko juu, point yangu ni kwamba tusibweteke, we still have a battle ahead.
Kikubwa ni kwamba CITY are spending too much money kuweza kumaintain kikosi chao...wakati Arsenal ni average tu na still tupo juu yao...!!
 
ITEGAMATWI

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
4,821
2,000
Japo inaweza ikawa si jukwaa lake lakini si vibaya nikiwatakia mwaka mpya mwema kama ifuatavyo....
1.Mashabaki wa Arsenal heri ya mwaka mpya kwenu na hongereni kwa kuongoza ligi mpaka sasa.. Naamini ubingwa utatua pale emirates stadium...

2.Mashabiki wa liverpool mwaka mpya mwema pia msife moyo top four mtaingia msimu huu lakini ubingwa sahauni..

3.Man U mwaka mpya mwema pia hongereni pia mmejitahidi kwa nafasi mliyopo.. Bila kukaza mngekua nafasi ya 17 huko lakini bado top 4 mtaisikia tu hamtaingia top 4 na ubingwa ndo humsahau kabisa...

4.Mashabiki wa Man city mwaka mpya mwema kwenu pia mna timu nzuri lakini mnanishangaza kwa nini hadi sa hizi hamuongozi ligi? Lakini nawapa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa endapo tu Arsenal watashindwa kutwaa ubingwa huo

5.Kwa mashabiki wa chelsea nyie nazani sahauni tu ubingwa mwaka huu mtashia nafasi ya tatu kama mlivyo sa hizi

#Mwisho wa yote tuombeane heri na fanaka katika mwaka mpya wa 2014 yote kwa yote mwenyezi Mungu azidi kutubariki...

We endelea tu kujifanya umemsahau Mourinho a.k.a THE SPECIAL ONE. Msimu huu FA,UCLna EPL vyote vitapumua darajani. Yaani pamoja na kuwa timu pekee ya Top 4 iliyomgonga ManCity kwenye mzunguko wa kwanza still unawasi wasi THE BLUES?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom