Ina vyumba vtano (3master&2single)sitting room,dinning, Jiko store imefungwa sytm ya hot&cold water, inafkika umbal kutoka kituo cha bac n ka 1kmTaja vitu muhimu Inaroom ngapi choo,sebure na vitu vingine kama location na ukubwa wa kiwanja,nyumba hii haina mgogoro...
Iko katavi au kigomaIna vyumba vtano (3master&2single)sitting room,dinning, Jiko store imefungwa sytm ya hot&cold water, inafkika umbal kutoka kituo cha bac n ka 1km
Mjifunze kusoma comments za juu kabla ya ku-comment.Lete specifications zake
Imekua simu?Lete specifications zake
Akifika 30 unuambieWakuu kimfaacho MTU chake Leo mwny hii nymba kanifuata kashuka tena mwny hela anaokota hii nyumba ukilingansha na gharama halisi
Huyu MTU mkuu kapata matatzo ya kibiashara kayumba kdgo anataka apate msingi mwngne wa biashara nyumba haina tatzo lolote ipo clearHii Nyumba kwa specifications hizo mnunuzi ninakushauri uifanyie upekuzi wa siri kuanzia ardhi, mabenki kadhaa, kaa karibu na majirani na viongozi, nenda nanispaa. Ukijiridhisha wakati wa kununua record tukio hilo. Yaani mchukue manipaa ili pia coordinates za eneo zieleze matumizi ya eneo husika. Muuzaji nielewe hapa ni kujiridhisha pande zote. Pia hakikisha siyo matrimonial property. Chunguza kama jamaa alishaoa na kutengana na mke. Na wakati wa recording uliza maswali wa msingi. Zingatia usije ukalia.