Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,352
Ulionesha undezi😅
Demu unamkazia sh.100Katuabisha huyu, lazima anatokea Mara au Chato
Ulitakiwa umnyooshe magetoniWala sio ukatili mkuu..ubaya ubaya tu...hawa viumbe bila kuwanyosha hawanaga adabu
Demu unamkazia sh.100
Sikuwahi kumtongoza, tatizo ni kuwa aliwahi kunisukuma wakati tukipishana mlangoni, na hakuomba samahani, yaani akaondoka kwa nyodo. Mimi huwa sisamehe kirahisi hivyo, nalipa sawa sawa na ulichofanya na maisha yanaendelea.Unatuabisha wanaume, sana! Kukataliwa Sio visa! Bora ungelipa ukaja tudai wanaume tu nao jua thaman za hawa wanawake!
Alikuwa nayo ila alitaka jamaa aoneshe ujentromeni tu😅Aibu sana! Na mtoto wa watu hakuwa nayo maskini!
Mkuu agiza pepsi kunywa...Sikuwahi kumtongoza, tatizo ni kuwa aliwahi kunisukuma wakati tukipishana mlangoni, na hakuomba samahani, yaani akaondoka kwa nyodo. Mimi huwa sisamehe kirahisi hivyo, nalipa sawa sawa na ulichofanya na maisha yanaendelea.
Pamoja kaka, aliwahi kukaushia salamu yangu, wakati nilipompa hi, na hatukuwa na ugomvi.Wala sio ukatili mkuu..ubaya ubaya tu...hawa viumbe bila kuwanyosha hawanaga adabu
Hawa ndo zao mzee...yani mi hadi wanatubu wenyewPamoja kaka, aliwahi kukaushia salamu yangu, wakati nilipompa hi, na hatukuwa na ugomvi.
Nitamnyooshaje wakati sina mpango naye? Mimi nilikuwa nalipa kisasi yaani! Kwangu kisasi ni lazima.Ulitakiwa umnyooshe magetoni
[emoji23][emoji23][emoji123]Hawa ndo zao mzee...yani mi hadi wanatubu wenyew