McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 889
- 2,863
Wakuu,
Nisiwachoshe na salamu maana nchi iko kwenye maaombolezo
Nilikuwa nataka tu kujua aliyekuwa Mwwenyekiti wa CHADEMA, Mbowe yuko wapi?
Sijaona akipost chochote kuhusu Watanzania waliouwawa kinyama siku ya maandamano wala kuzungumzia how tense the political atmosphere ilivyo kwa sasa
Ametekwa, bado amenuna au bado yuko bize na biashara zake?
Najua humu jamvini kuna watu mtakuwa na taarifa za wapi alipo huyu baba.
Tunaombeni muongozo