baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 11,503
- 12,157
Mtu wa ccm anamtetea Mbowe makubwaHivi huwa mna matatizo ya akili? Mnachokoza watu mkijibiwa mnaanza kulia hovyo. Mbowe yuko zake kimya ila hamridhiki. Andaeni mawakili wa kuwatetea Heche, Mwaipaya, Hilda na wengine wote waliochochea uhalifu kutendeka.