Mada yako ni sawa na kusema iwepo TAKUKURU na CAG, Kuna lolote jipya unaliona kwenye hizo taasisi? Bc ndivyo itakavyokuwa ikiwa hii mada itafanyiwa kazi.
Kwa nini unasema hivyo mkuu..mbona TAKUKURU na CAG vyote ni vyombo vya serikali ya CCM, unadhani kungekua na watu wa vyama vingine kwenye hizo taasis..usingeona difference/ tija??,