Anita Makirita
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 1,487
- 2,422
Hahaaa umenikumbusha mbali Anitaaaa, Anitaaa wanguuuu ile Lee leeSio kwa wachumia tumbo hawa ninao wajua.
Anitha, Matonya hajambo
Kwa kuwa na representatives wa vyama vyote, au..Kama CCM inaweza kumanipulate bunge, mahakama, police, tume ya uchaguzi, na vyombo vyote vya usalama...hiyo independent body itaundwa Kwa mtindo upi?
Labda kuwaburuza kwenye mahakama ya ICC, The Hague.Kuwe na independent body itakayosimamia malalamiko ya kiuwajibikaji ya serikali pamoja na upinzani.....?!
NO CONSTITUTION, NO REFOR, NO ELECTION. NO CHANGESKuwe na independent body itakayosimamia malalamiko ya kiuwajibikaji ya serikali pamoja na upinzani.....?!
Kama ICC/ UN vile ambapo member state/ parties wanaweza kupeleka malalamiko yao yakachunguzwa, decision ikawa made, na penalty /hukumu kutolewa.....??
Kiwe na representatives wa all parties..?!!
Naongea hivi sababu nimesikitishwa na wakina Heche/Hilda kuwa harassed vile na kupigwa na police wa serikali ya CCM..
Worse, ninkuona hakuna chochote watakachofanywa waliowatendea vile, hamna sehemu ya ku report sababu hakuna faith in judiciary system wala police kwa wapinzani...
Hii inatoa loophole kwa serikali kufanya inavyotaka...
Na itaendelea kufanya inavyotaka unless kuwe na chombo kitakachowafanya wawe countable/responsible.....
Tumeshuhudia "pattern" ya kunyanyasa wapinzani wasi exercise rights zao kama free citizens in their country...
Mfano maandamano wapinzani wakitaka kuandamana , itaanza kwa mkuu wa police amesikia " fununu" kuna wanaotaka kufanya vurugu..., itakuja " intimidation " ...' tutakuwepo kudeal na watu wanaotaka kuvunja amani ya nchi yetu' na saa nyingine mpaka rais anakuwa involved kuwa yuko " concerned" na amani ya nchi yetu zaidi...
Hii pattern imekuwa inajirudia kila wakisikia kuna maandamano, na imekuwa na " impact".. wanachadema sasa hivi tumebaki kusemea mitandaoni, tunakuwa too intimidated kuandamana...Mbowe alijikuta na mwanae na wanachadema wachache kwenye maandamano na kesi ya lissu imekuwa hivyo hivyo watu wachache ndio walikuja....wengine wanaepuka shari...
Huu ni unyanyasaji, as hakuna evidence Chadema ilipofanya maandamano kulikuwa na uvunjifu wa amani...mseme mwaka gani hapa...?!
Kuwe na chombo kitachofanya kazi in openness, justice and fairness...specific kwa wote upinzani na serikali ili wote wawe na sauti ya kureport chama kingine kwa injustice...
Hii kazi ingefanywa na mahakama au police wetu lakini wao ndio wa kwanza kunyanyasa upinzani...hatuna faith kwao anymore...tuwe na direct chombo SPECIFIC..
Vipi haiwezekani kuwe na chombo kama hiki wakuu??? Heche na wenzio demand tuwe nacho bwana...
Anita.
Tunaweza kikiunda chombo chenye watu wa vyama vyote...kitakuwa huru au unaonaje?Labda kuwaburuza kwenye mahakama ya ICC, The Hague.
Kwa nchini Tanzania mahakama siyo huru n̈a hakuna chombo huru.
Kote wamejaa makada na machawa tu
Kuna kimoja tayari kipo, yaani MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA, ambaye ndiyo mlezi wa vyama vyote.Tunaweza kikiunda chombo chenye watu wa vyama vyote...kitakuwa huru au unaonaje?
Inasikitisha kwakweli..Kuwe na independent body itakayosimamia malalamiko ya kiuwajibikaji ya serikali pamoja na upinzani.....?!
Kama ICC/ UN vile ambapo member state/ parties wanaweza kupeleka malalamiko yao yakachunguzwa, decision ikawa made, na penalty /hukumu kutolewa.....??
Kiwe na representatives wa all parties..?!!
Naongea hivi sababu nimesikitishwa na wakina Heche/Hilda kuwa harassed vile na kupigwa na police wa serikali ya CCM..
Worse, ninkuona hakuna chochote watakachofanywa waliowatendea vile, hamna sehemu ya ku report sababu hakuna faith in judiciary system wala police kwa wapinzani...
Hii inatoa loophole kwa serikali kufanya inavyotaka...
Na itaendelea kufanya inavyotaka unless kuwe na chombo kitakachowafanya wawe countable/responsible.....
Tumeshuhudia "pattern" ya kunyanyasa wapinzani wasi exercise rights zao kama free citizens in their country...
Mfano maandamano wapinzani wakitaka kuandamana , itaanza kwa mkuu wa police amesikia " fununu" kuna wanaotaka kufanya vurugu..., itakuja " intimidation " ...' tutakuwepo kudeal na watu wanaotaka kuvunja amani ya nchi yetu' na saa nyingine mpaka rais anakuwa involved kuwa yuko " concerned" na amani ya nchi yetu zaidi...
Hii pattern imekuwa inajirudia kila wakisikia kuna maandamano, na imekuwa na " impact".. wanachadema sasa hivi tumebaki kusemea mitandaoni, tunakuwa too intimidated kuandamana...Mbowe alijikuta na mwanae na wanachadema wachache kwenye maandamano na kesi ya lissu imekuwa hivyo hivyo watu wachache ndio walikuja....wengine wanaepuka shari...
Huu ni unyanyasaji, as hakuna evidence Chadema ilipofanya maandamano kulikuwa na uvunjifu wa amani...mseme mwaka gani hapa...?!
Kuwe na chombo kitachofanya kazi in openness, justice and fairness...specific kwa wote upinzani na serikali ili wote wawe na sauti ya kureport chama kingine kwa injustice...
Hii kazi ingefanywa na mahakama au police wetu lakini wao ndio wa kwanza kunyanyasa upinzani...hatuna faith kwao anymore...tuwe na direct chombo SPECIFIC..
Vipi haiwezekani kuwe na chombo kama hiki wakuu??? Heche na wenzio demand tuwe nacho bwana...
Anita.
Je wenye BOT wako tayari?Kuwe na independent body itakayosimamia malalamiko ya kiuwajibikaji ya serikali pamoja na upinzani.....?!

Vyama vyote vyenyewe hivi ccm B?Kwa kuwa na representatives wa vyama vyote, au..
Ili mtu awe neural sio jina.Kuna kimoja tayari kipo, yaani MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA, ambaye ndiyo mlezi wa vyama vyote.
Kinadharia, hiki chombo kinatakiwa kuwa neutral, ila ndiyo wale wale, machawa!
Zamani nilikuwa nasema Chadema tu ila bora niseme Chadema ya LissuVyama vyote vyenyewe hivi ccm B?
Sijui nimekuelewa? Sio kureport nje ya nchi mkuu...ndani Tanzania, chombo kinaendeshwa na watanzania, sema ni wa vyama tofauti...au ushirikiano kutakua hakuna? ChaosHaiwezekani kabisa!!
Haiwezekani kwa sababu ccm watakataa! Watakuja na theory zao zile oooh sisi ni nchi huru hatutaki mtu mwingine aje aingilie mambo yetu ya ndani!
Nimeona umetaja icc na UN........Sijui nimekuelewa? Sio kureport nje ya nchi mkuu...ndani Tanzania, chombo kinaendeshwa na watanzania, sema ni wa vyama tofauti...au ushirikiano kutakua hakuna? Chaos
Ni mfano tu mkuu...jinsi UN inavyokuwa na muunganiko wa nchi tofauti, na jinsi nchi yoyote iliyojiunga inavyoweza kureport jambo....Nimeona umetaja icc na UN........