drphone
JF-Expert Member
- Sep 29, 2009
- 3,542
- 295
Kuna jambo linanisumbuaga sana unapita njiani anapita mdada ana kamvuto fulani ss hapa kunatofautiana ww kama mwanaume unamtupia jicho la chabo kukubali ule mvuto unaporudisha macho uendelee na hamsini zako unaona mwanamke/wanawake wenzake nao wanamwangalia kwa jicho kama lako la tamaa tena nakuzidi kama ww mwanaume unavyosema du huyu demu bomba unaona usoni mwao kama wanasema hivyo na kuzidi,
swali nabaki najiuza kwann? je labda ana kaka yake ajaoa nataka kumtafutia maana wengine ni kama anasema du huyu dada mzuri angekuwa wifi yangu
najua hapa nitapata majb nawakilisha.
swali nabaki najiuza kwann? je labda ana kaka yake ajaoa nataka kumtafutia maana wengine ni kama anasema du huyu dada mzuri angekuwa wifi yangu
najua hapa nitapata majb nawakilisha.