Afrocentric view
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,374
- 2,289
Refurbished hiyo, kuwa makini. Warranty muda gani?Wakuu vipi,
Nmeenda dukani kununua Pc used abroad.
Ni hp 840 zile new design nyepesi flan nyembamba.
Core i5, Ram8, ssd 256 generation 6
Kwa 550, 000/=
Ni sawa au napigwa?
Hiyo hata Bei ya furb kitonga bado,akaikague tuRefurbished hiyo, kuwa makini. Warranty muda gani?
Miez mi3Refurbished hiyo, kuwa makini. Warranty muda gani?
Walinianzia mia 700....ila Wamenipa warranty miez mi3Ina tatizo kwa izo equivalent huwezi kupata chini ya 700k na maanisha laki Saba Tena used hapo ni parefu mno ...Kuna mahali Kuna danger haswa betri
Liko MwanzaDuka gani hilo
PC ya milioni wanauza laki tano
NshachukuaFair sana hiyo chukua
Ningekuwa mimi ningetoa 600k
Unapigwaje sasa wakati mali uko nayo? Check battery life tu apo na muonekano wa nje kama unaridhika nayo beba hamma difference ya kutisha sana PC yenyewe mtumbaWakuu vipi,
Nmeenda dukani kununua Pc used abroad.
Ni hp 840 zile new design nyepesi flan nyembamba.
Core i5, Ram8, ssd 256 generation 6
Kwa 550, 000/=
Ni sawa au napigwa?
Inaonekana battery ni ya masaa7 maana kpindi nanunua llikuwa na 85% inasema 6hrs 8min reamining.Unapigwaje sasa wakati mali uko nayo? Check battery life tu apo na muonekano wa nje kama unaridhika nayo beba hamma difference ya kutisha sana PC yenyewe mtumba
Ishi nayo iyo mkuuInaonekana battery ni ya masaa7 maana kpindi nanunua llikuwa na 85% inasema 6hrs 8min reamining.
Saivi nmetumiatumia ina 74% 5hrs remaining
👍Ishi nayo iyo mkuu
Run!Miez mi3
Ishi nayo iyo mkuu
Ulinunulia wapi?Nilipata pc kama hiyo isipokua haikua na ssd ilikua hdd 500gb kwa laki 550 baada ya kuconvert kwa ela ya Tz baada ya muda kama week 3 hv ilipata changamoto ya keyboard kutofanya kazi baadhi ya button ingawa ilikua na warranty ya mwaka mmoja niliamua kubadili keyboard kwa gharama zangu ambapo nilitumia elf 40 ya kitanzania toka hapo haijanisumbua kitu ipo poa mpka sasa ..Mwanzoni ilikua na blacklight keyboard ila sasa nimeweka keyboard ya kawaida tu..
Kimsingi hii ni mil 1.2 sasa kama wanauza hiyo bei yaani 550k basi hakikisha sio feki na ingia mwenyewe uone hizo specifications kama ni sahihi. Tofauti na hapo lipa haraka uondokeWakuu vipi,
Nmeenda dukani kununua Pc used abroad.
Ni hp 840 zile new design nyepesi flan nyembamba.
Core i5, Ram8, ssd 256 generation 6
Kwa 550, 000/=
Ni sawa au napigwa?
View attachment 2382965
Wakuu vipi,
Nmeenda dukani kununua Pc used abroad.
Ni hp 840 zile new design nyepesi flan nyembamba.
Core i5, Ram8, ssd 256 generation 6
Kwa 550, 000/=
Ni sawa au napigwa?
View attachment 2382965