Wakuu hii imekaaje

Utaumia, ukija kupiga hesabu idadi ya miezi mara 76,000 inakuja pesa ya kutosha! Btw, mbona wameweka namba ya simu hapo ukitaka kupata maelezo ya kina unapiga, au unatembelea tawi lako la CRDB!!
wewe tiririka ujuavyo kamanda utakuwa umenisaidia vya kutosha.
Je hiyo simu unakabidhiwa kuwa yako mwenyewe baada ya muda gani pia sijaelewa utaratibu je unapewa hiyo simu au mpaka umalize malipo kwanza?
 
wewe tiririka ujuavyo kamanda utakuwa umenisaidia vya kutosha.
Je hiyo simu unakabidhiwa kuwa yako mwenyewe baada ya muda gani pia sijaelewa utaratibu je unapewa hiyo simu au mpaka umalize malipo kwanza?

Nijuavyo unalipa kwanza first installement ya miezi kadhaa, baada ya hpo unakabidhiwa simu na unaendelea kulipia kiasi cha fedha kama kilivyooneshwa kwa mwezi. Contract yao ni ya miaka miwili au mitatu (sina hakika), baada ya contract unabaki na simu yako na unaweza kuiunlock kutumia mtandao mwingine (but NOT before that!); Kumbuka wakati huo hiyo S4 itakuwa imepitwa na wakati vibaya mnoo. Mi naona kama unaweza kuaford ni heri ununue tu, maana sku hizi unapata S4 mpaka kwa laki8.5, inakuwa yako unatumia mtandao utakao na ukichoka au ukitaka kununua toleo jipya unaiuza bila zengwe! Wangekuwa wanatoa UNLIMITED VOICE na DATA ningewaelewa.
 
Sijaelewa pia hiyo 76 elfu utalipia kwa miezi mingapi?. Hata hivyo kama unatumia sitetalk unaweza kufaidika na system yao mpya ya mnada (auctions), mfano muda huu nimekuta kuna Ipad min inauzwa chini ya elfu 5 ya tz, angalia picha hapa chini:


 

===> 12*2*76000=1,824,000
===> 12*3*76000=2,736,000
 
===> 12*2*76000=1,824,000
===> 12*3*76000=2,736,000 View attachment 102933

mkuu inakua kama hv.
mfano mwanzo unalipa 100,000 halafu kila mwezi unalipa 50,000 then unapewa na vifurushi. kwa mwezi unaweza pewa mb500 za net dakika labda 100 na sms 1000. just ni mfano hizi data sio za kweli

bei ni kubwa lakini kunakua na vifurushi vya kila mwezi. ni nzuri kwa wafanyakazi wa kuajiriwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…