Abdull hameed
Senior Member
- Jan 29, 2025
- 126
- 230
- Thread starter
-
- #21
Sasa itakumalizaje kama huumwi tumbo?.hakuna kuumwa tumbo kiungulia
kwangu ni kiunguklia,kichefuchefu lkn hakuna kutapika,kizunguzungu kikali mda mwengine najiona km naanguka,uchomvi hata km sijafanya kazi siumwi tumbo kabisaSasa itakumalizaje kama huumwi tumbo?.
abugie nini na asibugie niniPambana na daktari mmoja,usihame. Pia fuata masharti ya kula unayopewa, hata H Pylori ukimuua bado itahitaji muda tumbo kupona yale matatizo uliyoletewa na H Pylori. Sio una shida halafu unakunywa chai saa nne na unabugia kila kitu kama mtu ambaye tumbo lake halina shida.
Kafanye Kipimo cha ECG , ninahisi unawez kua na changamoto ya Moyo.kwangu ni kiunguklia,kichefuchefu lkn hakuna kutapika,kizunguzungu kikali mda mwengine najiona km naanguka,uchomvi hata km sijafanya kazi siumwi tumbo kabisa
Mm ECG nishapima ikawa normal mkuu moyo na kichefchefu vinahusiana vp?Nimesoma Uzi wako ulopita, itoshe kusema, Una tatizo upande wa Moyo ( Myocardial Infarction).
Kacheki kesho, Utaleta Mrejesho !!.
Ohoooo Dalili ulizonazo zote Zinatosha kusema una Myocardial Infarction !!Mm ECG nishapima ikawa normal mkuu moyo na kichefchefu vinahusiana vp?
Nimejaribu kukutumia naona umefunga dmOhoooo Dalili ulizonazo zote Zinatosha kusema una Myocardial Infarction !!
Niwekee hapa Majibu yako ya ECG niyaone ,nikusaidie kitu!!.
Myocardial Infarction hasa ambayo ni Inferior Huwa Ina trigger Vagus Nerve ( Mshipa fahamu unaoongoza Mfumo wa chakula ) kupelkea Mgonjwa ahisi Kichefuchefu, Kutapika.Mm ECG nishapima ikawa normal mkuu moyo na kichefchefu vinahusiana vp?
Ndio nmefunga DM, wee Iweke hapa ,au km Ina identity yako, Zifanye zisionekané.Nimejaribu kukutumia naona umefunga dm
Ndio fungua hlf utafunga tena au kuna shidaNdio nmefunga DM, wee Iweke hapa ,au km Ina identity yako, Zifanye zisionekané.
Daktari wake atampa maelekezo,ayafuateabugie nini na asibugie nini
TumaNdio fungua hlf utafunga tena au kuna shida
Nami napata kuchefuchefu ingawa sina hayo mengine aliyo sema. Vipi naweza nikawa nina tatizo la moyo kama ulivo sema?Myocardial Infarction hasa ambayo ni Inferior Huwa Ina trigger Vagus Nerve ( Mshipa fahamu unaoongoza Mfumo wa chakula ) kupelkea Mgonjwa ahisi Kichefuchefu, Kutapika.
Lkn pia Moyo na Mfumo wa chakula hutumia Njia Moja ya Mawasiliano ( ANS), halisi hi inafanya Wagonjwa wéngi wenye M.I kua na dalili za matumbo yaan kichefuchefu, kutapika
Matumizi yake yapojeTumia majani ya mloge mim mwenyewe niliteseka sanna na madawa ila mlonge ni mwisho,,,
Kama shida ni vidonda vya tumbo nitafuteHusika na mada apo juu nimetumia zaidi ya dozi 3 lakini bado chuma kipo kinanitesa mno hadi nakata tamaa,kitu kinanishangaza zaidi siumwi tumbo ata kdg km kuna dawa nzuri zaidi mtu anisaidie aiseee