B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,582
- 3,272
HABARI WAKULA...MAMBO VIP WAKUU MI NA SHIDA MOJA BANA.TOKEA NIAMIE MAGOMENI BANA.NIMEKUWA NIKITAFTA DOJO LA KUFUNDISHIA KARATE SI LIPATI.yanii sasa nimeanza kuwa mnywaji kweli maana mda mwingi na kuwa idle maana natoka job mapema.natafta mahali pakufanya mazoezi hayo japo masaa mawili au matatu jioni.mwenye utaalamu anipe mawazo wapi