KERO Wakusanya taka Mbeya baadhi hawatoi risiti

KERO Wakusanya taka Mbeya baadhi hawatoi risiti

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kuna baadhi ya wakusanyaji pesa za taka wamekuwa na tabia ya kutotoa risiti baada ya kupewa pesa za taka.

Takribani miezi mitatu mfululizo wakusanyaji pesa wanakuja na daftari ( counter book) wanaandika majina Jambo ambalo ni kinyume na utaratibu wa makusanyo ya pesa za ushuru wa taka Hili limetokea katika mitaa ya veta machinjioni Jambo linaloibua wasiwasi katika ukusanyaji WA mapato ya halmashauri .

Je, kwanini isitumike mashine kutoa risiti badala yake waandike majina ?
 
Back
Top Bottom