Wakurya wanamsaka Polisi.

Kama mm ndio polis ningechukua sub yangu nachukua magazin 5 zikiwa full halafu na take cover. Magazine ya kwanza naweka rapid nawapelekea moto hatar

Ya pili mpaka tano unafanyia nini!??
 
Wambura marwa wewe ndo inatakiwa utumie akili badala ya kutumia nyayo kufikiri mimi nimeimaanisha wakurya bila silaha si lolote na sijasema polisi kwenda lindo bila silaha
 
Hivi kuna watu wa kabila gani hapa Tanzania wanaweza kuwa na ujasiri wa kuvamia kituo kikubwa cha polisi ukiondoa ndugu zangu hao wakurya?
 
Wambura marwa wewe ndo inatakiwa utumie akili badala ya kutumia nyayo kufikiri mimi nimeimaanisha wakurya bila silaha si lolote na sijasema polisi kwenda lindo bila silaha
sijakataa ila hujanielewa mkuu sina nia na ubaya huwezi enda kupigana ukaacha silaha
 
Kama mm ndio polis ningechukua sub yangu nachukua magazin 5 zikiwa full halafu na take cover. Magazine ya kwanza naweka rapid nawapelekea moto hatar
Utakuwa hujapitia mafunzo yoyote yale ya jeshi huwez kuua hao raia wote wewe ni nanga
 
Serengeti hiyo, hao jamaa hawafai kabisa!. Yaani hawafai, hawarembi miandiko kabisa. Wangempata huyo polisi mbona dakika moja ni kubwa sana, nawaogopa zaidi ya simba. Hata kuzungumza nao ktk mazungumzo ya kawaida ni shida maana wanaweza geuka dakika sifuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…