Turikwenda kumsalimia Chacha muchini.Muke wake ni muswahiri akaturetea chai tukara akatulea wari tukanywa hata hatukusiba.Chacha bhado hachaoa mpaka tumutabhutie bhinti wa bhoti haki ya mama atubhilie ughare tusibe kabhisa
Mmoja alikuwa jeshini akawakuta kuruta wageni wamekalia fumu huku saa meja kasima maana alikuwa hana gwana na wale ni wageni, coplo akawashia moto kwa kusema, "nyie kuruta mmekaria bomu na saa meja kasima,muna bhiriki bizuri" duh waliruka hao!
wazee wengi walioenda jeshini enzi hizo waliishia cheo cha koplo.so ukipita unakuta vibao vimepangana koplo chacha,koplo mwita.sasa mzee mmoja hajui vyeo vya jeshi mtoto wake kamaliza chuo kajiunga na jeshi.karudi kijijini likizo kamwambia baba yake kuwa yeye ni meja jeshini,mzee akawaka mechaa mechaa nini bwana fanya fanya uwe kopuro bwana.