Wakurya acheni kuwaloga walimu....

mkurya hajawahi kuwa na uchawi, hao ni wahamiaji wachawi, mkurya akiwa na shida na wewe Panga,sime,mkuki,shale,rungu ndio utaongea navyo sio uchawi
 
Qq Sw

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh apana. Ukuryan nimekaa sana ila suala la uchawi hapana. Kama mtu ana shida na ww anakuijia mchana kweupe mnamalizana wala hakuna kona kona. Labda hao ni wahamiaji tu mana saiz ukuryan sio kwamba 100% ya wakazi ni wakurya saiz kuna mwingiliano wa watu
 
hahahahaha....... mtu katunza mimba miezi tisa, kapatwa uchungu, halafu kazaa mapacha wasiofanana yaani parachichi na chupa ya kokakola?????? inahuzunisha lakini nimecheka.
 
Musoma vijijini hakuna wakurya kuna wazanaki na waikizu hawa ni kweli uchawi wanao sana,, wakurya wako Serengeti na Tarime huko uchawi hauna nafasi ni mapanga tu,,
 
P
wakuria chimbeni vyoo acheku kunya ziwani kenge nyie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…