Kama inavyofahamika kuwa Mhe. Rais alifanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Mamlaka ya Serikali za Mitaa. Wengi waliachwa bila kuteuliwa na bado wako kwenye vituo vyao vya zamani.
Pili bado wapo kwenye nyumba za Wakurugenzi kama ilivyokuwa kwenye wadhifa wao, lakini Wakurugenzi wapya wanaendelea kufika kwenye vituo vyao ili kuendelea na kazi.
Swali la kujiuliza, Je mbona hawajapangiwa sehemu za kwenda ili kuendelea na kazi za kujenga taifa?. Pili, ni sahihi kuhama kwenye nyumba walizokuwa wanaishi kabla ya kupangiwa sehemu za kwenda.