'Wakunyongwa' wakata Rufaa


VUTA-NKUVUTE

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
5,989
Points
2,000
VUTA-NKUVUTE

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
5,989 2,000
ASKARI JESHI watatu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kumuua kwa kukusudia ya Swetu Fundikira wamekata rufaa kupinga hukumu hiyo
Wanajeshi hao walipewa hukumu hiyo katika Mahakama ya Kuu Kanda y Dar es alam na Jaji Zainabu Mruke baada ya kuona washtiakwia hao wamepatikna na hatia.

Rufaa hiyo imewasilishwa mahakama ya Rufani na Wakili wa wanajeshi hao Mluge Kaloli kwa maelezo hukumu hiyo haikua ya haki.

Wakili huyo ameeleza sababu ya kukata rufaa ni pamoja ya madai kuwa wateja wake hawakuwa na kusudio la kuua na kosa hilo halipo katika sheria ya makosa ya jinai.

Wakili huyo alifafanua kuwa mbali na hilo pia hakukuwa nashahidi yoyote aliyeithibitishia mahakama kuwa wateja wake walimuua Swetu Fundikila

Na hakuna hata shahidi aliyeweza kuthibitisha kuwa alihudhuria mazishi ya marehemu huyo

Novemba 20, mwaka huu, washitakiwa hao walihukumiwa kifo kunyongwa hadi kufa kutoka Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam .

Waliohukumiwa kunyongwa ni MTM 1900 Sajenti Rhoda Robart (42) wa JKT Mbweni, MT 75854 Koplo Ally Ngumbe (37) wa JKT Kunduchi na MT 85067 Koplo Mohammed Ally wa JKT Mbweni
 
Domy

Domy

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
4,700
Points
1,195
Domy

Domy

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
4,700 1,195
Watasomewa kunyongwa mpaka kufa na kuzikwa hapo hapo ili wasifufuke!
 

Forum statistics

Threads 1,294,751
Members 498,027
Posts 31,186,987
Top