mmmh, pole sana
kwani pesa ya weekend ni ngapi, Smile muwe na tabia ya kupenda kusimama kwa miguu yenu
why nimekusomesha then unataka mbereko ya kukubebea, why.
mmmh, pole sana
kwani pesa ya weekend ni ngapi, Smile muwe na tabia ya kupenda kusimama kwa miguu yenu
why nimekusomesha then unataka mbereko ya kukubebea, why.
halafu hii week end ndefu, na sisi tunaotegemea mwezi uandame ndio hivyo tena tuliambiwa mambo yangekuwa fresh ijumaa tungekeshiwa .kumbe ijumaa yenyewe sikukuu. noma kweli hadi j 3. Weekend ya mwisho wa mwezi huu imekaa vibaya najituliza zangu home naji jamiiforamuka tu bundle lipo.