Wakulima wataendelea kunyanyasika mbele ya wafugaji

engmtolera

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
5,149
Reaction score
1,441
Wadau,
ktk pita pita yangu mashambani nilikutana na kisa hiki ktk picha,baada ya kuwafumania wafugaji jamii ya kimasai wakiwa wameingiza ng'ombe ktk shamba la mkulima ktk kijiji cha majambaa-kichangani kata ya msowero-kilosa-morogoro.
Tunadhani ugomvi wa wakulima na wafugaji utaisha kweli?
 
Attachments

  • 20160707_142614.jpg
    20160707_142614.jpg
    309.7 KB · Views: 75
  • 20160707_142609.jpg
    20160707_142609.jpg
    403.2 KB · Views: 84
  • 20160707_142527.jpg
    20160707_142527.jpg
    367.7 KB · Views: 73
Wadau,
ktk pita pita yangu mashambani nilikutana na kisa hiki ktk picha,baada ya kuwafumania wafugaji jamii ya kimasai wakiwa wameingiza ng'ombe ktk shamba la mkulima ktk kijiji cha majambaa-kichangani kata ya msowero-kilosa-morogoro.
Tunadhani ugomvi wa wakulima na wafugaji utaisha kweli?
Mkuu, naomba kutofautiana na wewe katk hili kama ifuatavyo:
  1. Suala hili umelikuza sana kulihusisha na jamii ya kimasai badala ya kulichukulia kama la mfugaji yeyote au kosa la huyo mchunga ng'ombe ambaye kwa utashi wake kaamua kuchungia shambani.
  2. Ukiangalia hilo shamba kwenye picha ni kama mkulima alishalitelekeza na hivyo kuvutia mchunga ng'ombe kupitisha mifugo yake shambani.
  3. Lakini pia hilo shamba linaweza kuwa la huyo mfugaji kaamua kulisha mifugo yake baada ya kuona pengine mavuno hakuna. Ulimpata mwenye shamba ukasikia malalamiko yake au unatanguliza hukumu kwa wafugaji tu..?
Tuwe makini katk kuangalia uhalisia tukitaka kutatua migogoro ya wakulima na wafugaji. Vinginevyo tutaufanya mgogoro kuwa mkubwa ikiwa pia utahusu kabila fulani badala ya kushughulika na mwenye kosa.

Eng. WFM
 
Sikubaliani nawe kwa yote uliyaandika,mimi ndio niliyehusika kumkamata huyo mfugaji na ndio maana nilipata nafasi ya kumpiga picha mhusika.shamba halijatelekezwa kama unavyodhani na ndio maana wafugaji hao walikubali kulipa.eneo hili wafugaji waliowengi ni wamasai na wanatoka ktk kijiji cha ndugai na kichangani-kuna mdada wa ng'ombe waita godes.
Nilivyoviweka hapo nina uhakika wa 100% maana ndio maeneo yangu ya kufanyia kazi na imefanya wakulima baadhi kuzungushia mashamba yao wire kuogopa ng'ombe na kuchoma majani yote ya mpunga baada ya kuvuna ili kutoruhusu wafugaji kuingiza mifugo yao mashambani
 
Back
Top Bottom