Wakulima wafunguka kuhusu bei ya korosho

Wakulima wafunguka kuhusu bei ya korosho

Hayo ni makubariano ya anayetoa mkopo na anayepokea, mnunuaji hayamhusu na hajui na Hana haja ya kujua muuzaji anadaiwa wapi na ni kiasi gani, kwani alipokuwa anakopa huyo pembejeo, mnunuaji alipewa taarifa ?? Iweje Leo yupo katika kununua umjie na habari zako hizo?? Mtadaiana huko mlikokopeshana
mkuu kubali hujui kitu kuliko kujitutumua kwa ujinga huu ulio andika
 
Back
Top Bottom