Nakulilia TanzaniaWakulima mbali mbali mkoani morogoro wamei ngizwa chaka mara baada ya kuombwa kulima miwa kwa wingi kwa ahadi ya kujengewa kiwanda cha sukari sehemu ya mbigiri mkoani morogoro.
Lakini hadi leo hii ujenzi wa kiwanda hicho umeota mbawa na badala yake wakulima wamebakia na miwa yao hawana pa kuiuza View attachment 1053615
In God we trust
Mambo mengine ya kutia huzuni, mnasababisha wenzenu wacheke..!!
In fact nchi hi lazima tujipange,huwa naangalia mawe ya msingi yalowekwa Kila Kona na miradi inaota mbawa.Wakulima mbali mbali mkoani morogoro wamei ngizwa chaka mara baada ya kuombwa kulima miwa kwa wingi kwa ahadi ya kujengewa kiwanda cha sukari sehemu ya mbigiri mkoani morogoro.
Lakini hadi leo hii ujenzi wa kiwanda hicho umeota mbawa na badala yake wakulima wamebakia na miwa yao hawana pa kuiuza View attachment 1053615
In God we trust