X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,720
- 14,850
- Thread starter
- #21
Hilo ni tatizo kubwa sana....na limekosa msaada...Hahahahahaaa..hili la mbegu aisee ni Tatizo..mi niliingizwa mkenge na consultation ya the so called afisa kilimo akaniambia ninunue mbegu HYBRID ya Kenya...[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] yaani mahindi yalianza kuchanua yakiwa hayajafika hata urefu wa magotini....
Kuna kila haja hawa wataalam waji update maana wanachangia kutuangusha......
Wajuzi mje jamani tunawahitaji mnooooi