The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 7,382
- 8,445
Kwani hujasoma sababu za kushuka? Biashara huwenda Kwa matukio na msimu na hasa kwenye Kilimo..Swali la kujiuliza kwanini yameshuka ?
Tatizo la hii nchi tunakwenda kwa matukio na bahati mbaya we are always one step behind kwahio kila tukifanya kitu tunajikuta tumechelewa Ndio maana majuzi nikauliza.
Majukumu ya Waziri wa Kilimo ni yapi?
Ndio maana nadhani haujaelewa majukumu ya Wizara..., Jukumu la kuhakikisha gharama za uendeshaji ni rafiki ni nani ? na wakati mahindi yanashuka bei na kuozea mashambani huwa gharama za uendeshaji analipia nani... Jukumu kubwa la Wizara ya Kilimo (ikiwa pamoja na Waziri) ni kutunga na kusimamia...www.jamiiforums.com
Acha upuuzi,uruhusu mchele wa Nje Ili kumkomoa nani na kumdaidia nani?Kuna watu wana stock, wataumia.
Mchele nao umeanza shuka bei.
Serikali ilitakiwa iruhusu mchele kutoka Brazil na Indonesia ili bei iwe sawa
Kenya bei imeshuka sasa hivi baada ya mizigo ya imported duty free cereals kuingia sokoni na hilo wala sio ajabu na lilikuwa la kutegemea (yaani hakuna cha ajabu kitakachotokea ambacho hakiwezi kuwa planned beforehand); Kwahio with plans wala huu mfumuko wa bei wa sasa usingetokea na wala hicho unachosema wakulima kukosa soko miaka inayokuja ingawa itatokea lakini wizara ingefanya kazi yake wala kungekuwa hakuna uwezekano wa kutokea.... Lakini sababu tunakwenda kwa reactiveness na sio kuwa pro-active tegemea mazao ya wakulima kuozea shambani.... Na wasiasa kupiga siasa wakati huku wengine wanasifia sera with nothing to show for it....Kwani hujasoma sababu za kushuka? Biashara huwenda Kwa matukio na msimu na hasa kwenye Kilimo..
Ndio maana nakubaliana na sera ya serikali ya kutoingilia bei ya soko,wao wapambane kutafuta masoko mapya na pia kuongeza thamani mazao.
Mfano Bodi ya Mazao Mchanganyiko Ina kiwanda pale Dodoma wanasaga unga wa nafaka mbalimbali na kuzi pack hivyo wanauza mazao yalioogezwa thamani.
Sasa Ili kujihakikishia soko tunatakiwa kukuza viwanda vya hivi na pia kukuza sekta ya ufugaji iwe ya Kisasa na kutoa soko kwenye mazao ya Kilimo.
Sio wewe uliyeongelea soko huria hapo juu ? Haya mambo mtu inabidi kuyaangalia kwa ujumla wake na sio kwa mafungu inabidi ufanye upembuzi yakinifu na weigh out pros and cons...., na wakati unafanya hivyo ugundue kwamba chakula ni basic need na wakati wote bei lazima iwe rafiki..., na bila kusahau wakati unafikiri hayo kumbuka Ushauri wa Adam Smith....Acha upuuzi,uruhusu mchele wa Nje Ili kumkomoa nani na kumdaidia nani?
Kamwe ubaya hauwez dumu, soon we will breath fresh airHabari ndugu wakulima wenzangu..
Leo natoa taarifa tuu ya Hadhara kwamba mjiandae kisaikolojia maana bei ya Mahindi itaenda kushuka sana.
Kenya ambayo ndio soko kuu la Mahindi ya Tanzania bei imeshuka kutoka Tsh 130,000 Kwa gunia la kilo 100 Hadi Tsh.80,000.Ikumbukwe Kenya ndio soko kuu la Mahindi ya Tanzania..
Hii imetokana na sera ya Ruto ya kuingiza mahindi ya GMO kutoka Nje ya Nchi tena bila ushuru wowote.
Aidha Msimu huu mvua zimekubali maeneo mengi ya Nchi plus mbolea ya ruzuku so mazao yatakuwa mengi sana na hivyo yatakutana na hali mbaya ya bei.
Ambae anauwezo ni kuandaa stoo vinginevyo msimu wa mavuno usije shangaa gunia kuuzwa 30,000 na wateja hakuna,maana wafanyabiashara wengi watakimbilia kwenye mchele/mpunga ambao naona bei zitashuka ila Kwa kiasi kidogo.
Nitoe wito Kwa serikali Kupitia bodi ya mazao Mchanganyiko PBZ na wakala wa Hifadhi wa Chakula NFRA chini ya Wizara ya Kilimo kutenga Bajeti ya kutosha Ili kuja kununua mazao Kwa mkulima Ili Kuokoa uzalishaji msimu utakaofuata maana mfanyabiashara hawezi nunua wakati hakuna soko.
Pia Serikali iangalie uwezekano wa kutafuta Soko Ethiopia,Sudan Kusini na Somalia Moja kwa Moja badala ya kutegemea Kenya pekee.
Unga drops: Maize prices decline by over KSh 1000 per 90kg bag
Kenyan consumers can breathe a sigh of relief following a drop in maize prices by over KSh 1,000 for a 90kg bag. Millers have filled their stores in North Rift.www.tuko.co.ke
Unajua maana ya free market inatakiwa mchele wa nje uruhusiwe hiyo ndo maana ya free market acha soko liamueAcha upuuzi,uruhusu mchele wa Nje Ili kumkomoa nani na kumdaidia nani?
Ubaya upi? Soko ndio linaamua beiKamwe ubaya hauwez dumu, soon we will breath fresh air
Free market economy sio sawa na soko holela,hakuna Nchi inafanya hivyo hapa Duniani.Unajua maana ya free market inatakiwa mchele wa nje uruhusiwe hiyo ndo maana ya free market acha soko liamue
Kama soko ndo linaamua usilalamike watu kutaka kuagiza mazao nje ya nchi kama walivyofanya kenyaUbaya upi? Soko ndio linaamua bei
Soko huria sio sawa na soko holelaKama soko ndo linaamua usilalamike watu kutaka kuagiza mazao nje ya nchi kama walivyofanya kenya
At last ruto amefuta chozi la mwananchi wa kawaida, bro you're selfish ulitaka tu bei iendelee kupanda bila serekali kufanya lolote kenya wanaongozwa na watu wenye akili na sio kama TanzaniaFree market economy sio sawa na soko holela,hakuna Nchi inafanya hivyo hapa Duniani.
We baki hapo ruto amesema ataendelea kuruhusu mazao kutoka abroad, ubaya hauwez dumu hata siku mojaSoko huria sio sawa na soko holela