Wakufunzi wa UDOM wafukuzwa kwenye nyumba kuwapisha mawaziri waliohamia Dodoma

mzee wa giningi

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
519
336
459f70195efe0bbb70f50948494f2717.jpg
 
Inawezekana hujui taratibu za upangishajia nyumba,hapo Udom walikua wapangaji tu,hizo nyumba ni za SERIKALI ambayo ndiyo mpangishaji(Land Lord) km mpangishaji ameamua kusitisha mkataba hakuna ubaya kwakua hiyo ni haki yake.

Hao wakufunzi ni waajiriwa wa Upinzani siyo??Mawazo ya kufikiria kutumia Makalio Sina tusi la kulipa Bali kukudharau kabisa
 
hapo tu napoikubali serikal ya awamu ya 5....

kama jeuri goma uone? kuhama lazima uhame tu kama hutaki kajenge ya kwako
 
Back
Top Bottom