Wakuchat mpo?

jamani utafiti uko wapii nimekumiss mwenzio hadi naumwa
 
Last edited by a moderator:
Ulivoitika umenikumbusha mschana mmoja ivi...eniwei, binti kanimiss tu hapo na bahati waziri wangu wa mambo ya ndani hana tatizo sana

msichana gani huyo utafiti

naona kwakweli ashukuriwe waziri wa mambo yako ya ndani kwa roho yake hiyo
 
Last edited by a moderator:
msichana gani huyo utafiti

naona kwakweli ashukuriwe waziri wa mambo yako ya ndani kwa roho yake hiyo

Ni binti mmoja ivi mwenyeji wa Kibaha, nikimuita anaitika "abeeee" ananifurahisha sana
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…