ni kweli hujakosea kuniita maskini tena ukipenda unaweza niita mkulima.ila napenda kujua utimamu wako wa akili maana sidhani kama mtu aliyeshiba na tajiri ataandi factless kama hizo.hakika wewe ni kati ya wale ambao wataishi kama shetani.Ukiona mtu anajua kabisa bei ya unga na historia yake ni dalili kwamba ni maskini wa kutupwa lazima msifu maskini
Rais wa wanyonge anayewavunji nyumba wananchi wa Kimara waliokaa kwa zaidi ya miaka 30 bila fidia? Hadi benki ya dunia kutishia kusitisha mkopo wa upanuzi wa barabara. Mwandishi wa habari wa mwananchihakuna wa kumpinga mtukufu raisi J.P magufuli kwan ni raisi wa watu maskini wasio na haki pia walopuuzwa kwa kipindi kirefu sanaa.hao sio wakubwa wa nchi hizo ni title tu za magazetini leo.
rai;tusiandike habari zitakazopelekea kuvuruga amani ya nchi yetu.watanzania ni wamoja tuungane kwa pamoja tumuunge na kumuombea mh.magufuli, tuijenge nchi yetu.
Yeddy guyy
[Gemstone dealer]
ni kweli hujakosea kuniita maskini tena ukipenda unaweza niita mkulima.ila napenda kujua utimamu wako wa akili maana sidhani kama mtu aliyeshiba na tajiri ataandi factless kama hizo.hakika wewe ni kati ya wale ambao wataishi kama shetani.
shabash!
yaani kumbe wewe tenga kweli kuwa na gari moja full tank wik nzima ina maana gan sasa?.ndo nyie mnaoamini maisha ni kuwa na gari na nyumbaMi kuishi kama shetani ni kuwa na gari moja lenye full tank kila wiki.
yaani kumbe wewe tenga kweli kuwa na gari moja full tank wik nzima ina maana gan sasa?.ndo nyie mnaoamini maisha ni kuwa na gari na nyumba
Hautakaa ufanyikeKabla ya yote ni budi uchunguzi huru na wa kina ufanyike. Na kama taarifa za gazeti la Jamhuri ni za kweli basi kuna ufisadi mkubwa unaendelea chini kwa chini katika idara na miradi ya Serikali ya Awamu ya Tano. Hii itakuwa ni moshi unaofuka lakini moto uko kila kona.
Usione aibu kukili kosa maana posti za mwanzo kuhusu harufu ya ufisadi kwenye issue hii ulijitoa ufahamu ulipinga sana tu!Siasa nyimbo ina viitikio tofauti,akili kumkichwa!
Mkuu jifunze kuweka akiba ya manenohakuna wa kumpinga mtukufu raisi J.P magufuli kwan ni raisi wa watu maskini wasio na haki pia walopuuzwa kwa kipindi kirefu sanaa.hao sio wakubwa wa nchi hizo ni title tu za magazetini leo.
rai;tusiandike habari zitakazopelekea kuvuruga amani ya nchi yetu.watanzania ni wamoja tuungane kwa pamoja tumuunge na kumuombea mh.magufuli, tuijenge nchi yetu.
Yeddy guyy
[Gemstone dealer]