Wakubwa Kitoabu na mbwichichi

uhurubado

JF-Expert Member
Mar 25, 2007
875
940
Wakubwa zangu nawaomba sana mfanye mje na simulizi nyingine za kusisimua. Hili jukwaa halinogi bila michango yenu viongozi. Jukwaa limepoa mno!
 
Mkuu kitoabu ni SHIDA.
story ya
1. Lupatu kinga ya wachawi.
2.Na msitu wa nailoto ni shida.

Story za kitoabu ni nzuri sana.
 
Mkuu kitoabu ni SHIDA.
story ya
1. Lupatu kinga ya wachawi.
2.Na msitu wa ailoto ni shida.

Story za kitoabu ni nzuri sana.
Stori zake huwa hazikinai, zinachangamsha sana jukwaa! Mambo ya kumwekua mwekua na changamoto ya msitu wa nairoto ni stori matata sana! Huenda akashuka na kitu kutokea kule nanhupo!
 
Sasa naona mnalazimisha watu waje na story za kutunga, wacha wakutane na matukio then wakipata time watashare kile wameki-experience kuliko kuwa pressurise then waanze kuleta matukio ya kishigongo
 
Back
Top Bottom